Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Ni sawa na mtu asiyeona ukimwita kipofu ni unyanyapaa, lakini ukiita kwa kiingereza "blind" hapo hakuna shida kabisa. Mambo ya lugha hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu...Ni sawa na mtu asiyeona ukimwita kipofu ni unyanyapaa
Huelewek
Labda wanakosa staha, kutokana na mambo,na taratibu zao, kama ni hivyo, hata wakiitwa malaika, na neno malaika litakosa staha!
Lugha ya malkia/bibiNi sawa na mtu asiyeona ukimwita kipofu ni unyanyapaa, lakini ukiita kwa kiingereza "blind" hapo hakuna shida kabisa. Mambo ya lugha hayo.
Wasafi pia wapo mkuuTena hawastahili kuitwa mama lishe maana hakuna lishe hapo. Ni mwendo wa kulishwa mataptap tu
Tena hawastahili kuitwa mama lishe maana hakuna lishe hapo. Ni mwendo wa kulishwa mataptap tu
Mimi huwa pia naona kuwaita barmaid huwa sijisiki fresh naona kama nawadharau ingawa ni jina linalotokana na kazi wanayoifanya,Habari za wakati huu jamiiforums.
Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?
Binafsi ninaona kama wanasiasa wamewasahau sana hawa akina dada wanaotoa huduma kwa wateja kule bar. Neno mama lishe, kama sijakosea, lilianzishwa na mzalendo mwenzangu Hayati mzee B.W Mkapa (wahenga mtanisahihisha katika hili kama nitakuwa nimekosea) wakati wa kuelekwa campaigns za mwaka 2000. Sasa mbona nyie wanasiasa wa sasa mmewasahau hawa dada zetu?
SOMA PIA>>> Kuna haja ya Serikali kupitia wakuu wa wilaya na mikoa kuwabana wamiliki wa baa ili dada zetu wahudumu wapewe kadi za bima ya afya ya CHF?
Maoni ya mdau
=====
Jina la barmaid lipo sahihi ila wanalichukia vinaya kutokana na matendo yaliyomo ndani ya hiyo kazi, unakuta mdada anahudumia watu then wateja wakianza kulewa wanaanza kuwashikashika kwa kweli kazi zao ni ngumu sana kimazingiraBar maid...a woman who serves drinks in a bar. Kwani hili jina ambalo linaeleza kazi yao halina staha?
Mimi huwa kwa wadada huwa nawaita binti na wakaka nawaita kijana naona ni rahisi kuwafanya wawe na kujisikia vizuri, ila hii pia inategemea na ntu na ntuNasubiri jina jipya
Nitilie maana yake niwekee. Mama Ntilie ilikuwa na maana mama niwekee chakula kwenye sahani nimekuja kula. Hiyo ntilie ya kinyaturu haina uhusiano wowote na mama lishe wa sasa.Mama ntilie ni neno la kinyaturu lenye maana mama sijala,.
Ni neno zuri halina shida
Habari za wakati huu jamiiforums.
Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?
Binafsi ninaona kama wanasiasa wamewasahau sana hawa akina dada wanaotoa huduma kwa wateja kule bar. Neno mama lishe, kama sijakosea, lilianzishwa na mzalendo mwenzangu Hayati mzee B.W Mkapa (wahenga mtanisahihisha katika hili kama nitakuwa nimekosea) wakati wa kuelekwa campaigns za mwaka 2000. Sasa mbona nyie wanasiasa wa sasa mmewasahau hawa dada zetu?
SOMA PIA>>> Kuna haja ya Serikali kupitia wakuu wa wilaya na mikoa kuwabana wamiliki wa baa ili dada zetu wahudumu wapewe kadi za bima ya afya ya CHF?
Maoni ya mdau
=====
Good...Mimi huwa kwa wadada huwa nawaita binti na wakaka nawaita kijana
Very true...Jina la barmaid lipo sahihi ila wanalichukia vinaya kutokana na matendo yaliyomo ndani ya hiyo kazi
Hilo jina kwa sasa linabeba maudhui mabaya sana hususan maeneo mengi ya uswahilini...Mimi huwa pia naona kuwaita barmaid huwa sijisiki fresh naona kama nawadharau ingawa ni jina linalotokana na kazi wanayoifanya,