Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe na degree na utajiri wa kutosha ambao ukoo wenu wote hakuna hata mmoja mwenye nafuuMbowe kwani alisoma? Hivi kupata Div 0 ya Form 6 nae kasoma? Acheni kudharau elimu kiasi hiki, please. Mbowe alienda shuleni kusindikiza wengine ila hajasoma, hii muelewe vema.
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
Wajinga wengi hudhani kupata 0 ni kufelisina namna ya kukusaidia
Nadhani aliyeharibu mifumo ni Mwinyi JK akaja kuizika kabisa, maza yeye anaanua matangaSema enzi hizo Kabla elimu haijawa biashara.
Enzi hizo ili uende kusomea ualimu ulitakiwa upate marks za juu kabisa. Enzi hizo siasa zilikua ni wito usio na masikahi binafsi. Enzi hizo Wabunge wanapanda basi kwenda bungeni kuhudhuria vikao vya bunge, wakitaka kwenda kutembelea wananchi majimboni au kufuatilia miradi ya kimarndeleo walikuwa wanaomba gari halmashauri
Kishimba n.k, Mbowe ni tajiri kupita kiasi na anauwezo wa kujenga hoja twende kwa Professor Kitila ni hopeless kabisaWajinga wengi hudhani kupata 0 ni kufeli
Intelligence inatafsiri 0 ya Kwenye mitihani ni kukataa kukaririshwa
Ndiposa unawakuta 0 wote ndio wanaokuongoza Ole Sendeka, Polepole, Kibajaj, Bashite, Kigwangalla nk..nk ππππ₯
Nadhani hapo Rais alikuwa ni Mkapa baada ya kuingia JK ndiyo akaribu elimu mazimaBinafsi nimesoma kayumba shule ya msingi forodhani.
Watoto wa kikwete kina ridhiwani, miraji tumesoma nao
Watoto wa gavana BOT tumesoma nao
Enzi zile kayumba zilikuwa zina heshima zake
Maskini mna tabu sana mpaka akili zimejaa umaskini.
Mbowe anaongoza maprofesa na PhD holders achilia fukara kama wewe ambaye mkichanga pesa ukoo mzima hamfikii uchumi anaomiliki Mbowe.
A voice of foolTutafute hela jamani,tuache kulalamika kila jambo
A voice of smartA voice of fool
Na Abdul wa kizimkazi anakuja kwa kasi ya super Sonic, sasa hivi anaishi Dubai kwenye nyumba yakununua na ni rafk wa adui wa taifa( Rostam Aziz)Ni watoto wa Nyerere tu ndio walibaki maskini viongozi wengine wote waliobaki wamerithisha watoto wao vyeo na utajiri.
Kwani mtoto wa nani alikufa tajiri?Hivi watoto wa Riz 1 wanaweza kufa masikini?
Mbona unatutajia wawakilishi- Mbunge siyo kiongozi ni mwakilishiWajinga wengi hudhani kupata 0 ni kufeli
Intelligence inatafsiri 0 ya Kwenye mitihani ni kukataa kukaririshwa
Ndiposa unawakuta 0 wote ndio wanaokuongoza Ole Sendeka, Polepole, Kibajaj, Bashite, Kigwangalla nk..nk ππππ₯
Tatizo la siku hizi ni utawala mbovu na rushwa iliyopitiliza. Wakati wa Nyerere. Rushwa ilikuwa adui wa haki , lakini waliofuatia rushwa imekuwa ni sehemu ya Haki , na matabaka, marekebisho yakaja kidogo wakati wa che Nkapa, lakini kiwira, net group, na muendelezo wa ipitielo, ukaimarisha walio nacho dhidi ya wasio nacho, kikaja kipindi cha boys tu many , Naye akaimarisha waliokuwa nacho na mengi neyo, Magufuli akajaribu kuyarekebisha hayo yalio haribiwa Kwa miaka kama 25 Kwa miaka 5, hadith ikaishia hapo , sasa tupo kwenye kujirekebisha wenyewe aliye juu ashuke chini na wa chini apande juu licha ya uterezi, na wengine wasubiri kudondoshewa. Maana kupanda hawajui au hawawezi, labda wachungaji/freemasons/na dini zao ziwasaidie.Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
Kwa hiyo unataka kusema viongozi wengi sio Binadamu, basi watakuwa malaika au mashwetan