Zamani Watoto wa Matajiri na Masikini tulisoma Shule Moja mfano Mbowe na Ndugai, hii ilidumisha Uzalendo

Zamani Watoto wa Matajiri na Masikini tulisoma Shule Moja mfano Mbowe na Ndugai, hii ilidumisha Uzalendo

Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄

IST , HOPAC,ISM,BRAEBURN,FEZA etc
 
Sema enzi hizo Kabla elimu haijawa biashara.

Enzi hizo ili uende kusomea ualimu ulitakiwa upate marks za juu kabisa. Enzi hizo siasa zilikua ni wito usio na masikahi binafsi. Enzi hizo Wabunge wanapanda basi kwenda bungeni kuhudhuria vikao vya bunge, wakitaka kwenda kutembelea wananchi majimboni au kufuatilia miradi ya kimarndeleo walikuwa wanaomba gari halmashauri
Nadhani aliyeharibu mifumo ni Mwinyi JK akaja kuizika kabisa, maza yeye anaanua matanga
 
Wajinga wengi hudhani kupata 0 ni kufeli

Intelligence inatafsiri 0 ya Kwenye mitihani ni kukataa kukaririshwa

Ndiposa unawakuta 0 wote ndio wanaokuongoza Ole Sendeka, Polepole, Kibajaj, Bashite, Kigwangalla nk..nk 😂😂😂🔥
Kishimba n.k, Mbowe ni tajiri kupita kiasi na anauwezo wa kujenga hoja twende kwa Professor Kitila ni hopeless kabisa
 
Binafsi nimesoma kayumba shule ya msingi forodhani.

Watoto wa kikwete kina ridhiwani, miraji tumesoma nao

Watoto wa gavana BOT tumesoma nao

Enzi zile kayumba zilikuwa zina heshima zake
Nadhani hapo Rais alikuwa ni Mkapa baada ya kuingia JK ndiyo akaribu elimu mazima
 
Maskini mna tabu sana mpaka akili zimejaa umaskini.

Mbowe anaongoza maprofesa na PhD holders achilia fukara kama wewe ambaye mkichanga pesa ukoo mzima hamfikii uchumi anaomiliki Mbowe.

You have mental illness, Mbowe kwenye billionaire list wa hapa Tz yupo? Huna akili wewe, you will remain poor mentally and socially..!! I have wealth that your clan or 5 generations down the line hamnikuti, poor little guy..!! Eti Mbowe ni tajiri? Kumiliki Hoteli 2 au 3 ndio tajiri? Alafu hata kama akiwa tajiri, still alipata Div 0 ni vitu viwili tofauti, kuwa alifeli sana na kupata Div 0
 
Advance nimesoma na watoto wa vigogo wengi tu.
Mtoto wa BOSS WA TBS, Mtoto wa Maja Generali, mtoto wa DC, mtoto wa waziri n.k
 
Kipindi hicho tulisoma na watoto wa watu wakubwa tena walikuwa marafiki, Riz tulisoma nae advance na mzee wake alikuwa akija kila mara kwa mwanae, jamaa hakuwa na makuu hata kidogo, kuna jamaa nae babake alikuwa mtu mkubwa tu, japo yeye alikuwa akionyesha utabaka sana.

Miaka hii mambo yamekuwa tofauti kabisa
 
Ni watoto wa Nyerere tu ndio walibaki maskini viongozi wengine wote waliobaki wamerithisha watoto wao vyeo na utajiri.
Na Abdul wa kizimkazi anakuja kwa kasi ya super Sonic, sasa hivi anaishi Dubai kwenye nyumba yakununua na ni rafk wa adui wa taifa( Rostam Aziz)
 
Ni kweli mkuu miaka ile hata hivyo shule hizi za English medium zilikua za kuhesabu.

Shule za serikali na seminari ndio zilikua habari ya mjini.

Mfano shule niliyosoma A level ilikua ya kata ila kama hauna ufaulu mzuri au hutoki kwenye familia fulani hupati admission.
 
Wajinga wengi hudhani kupata 0 ni kufeli

Intelligence inatafsiri 0 ya Kwenye mitihani ni kukataa kukaririshwa

Ndiposa unawakuta 0 wote ndio wanaokuongoza Ole Sendeka, Polepole, Kibajaj, Bashite, Kigwangalla nk..nk 😂😂😂🔥
Mbona unatutajia wawakilishi- Mbunge siyo kiongozi ni mwakilishi
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Tatizo la siku hizi ni utawala mbovu na rushwa iliyopitiliza. Wakati wa Nyerere. Rushwa ilikuwa adui wa haki , lakini waliofuatia rushwa imekuwa ni sehemu ya Haki , na matabaka, marekebisho yakaja kidogo wakati wa che Nkapa, lakini kiwira, net group, na muendelezo wa ipitielo, ukaimarisha walio nacho dhidi ya wasio nacho, kikaja kipindi cha boys tu many , Naye akaimarisha waliokuwa nacho na mengi neyo, Magufuli akajaribu kuyarekebisha hayo yalio haribiwa Kwa miaka kama 25 Kwa miaka 5, hadith ikaishia hapo , sasa tupo kwenye kujirekebisha wenyewe aliye juu ashuke chini na wa chini apande juu licha ya uterezi, na wengine wasubiri kudondoshewa. Maana kupanda hawajui au hawawezi, labda wachungaji/freemasons/na dini zao ziwasaidie.
 
Back
Top Bottom