Changamoto kwa kweliSiku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
Hata yule wa kike naona anaanza kufanyishwa mazoezi ya uongozi na kuongea mbele za watu muda sio mrefu utasikia kapewa ubalozi wa nchi za Ulaya kula mishahara ya bure na kula bata.Na Abdul wa kizimkazi anakuja kwa kasi ya super Sonic, sasa hivi anaishi Dubai kwenye nyumba yakununua na ni rafk wa adui wa taifa( Rostam Aziz)
Daaah! Kenya wale vijana wamewezaje jamani!!!!!????Hata yule wa kike naona anaanza kufanyishwa mazoezi ya uongozi na kuongea mbele za watu muda sio mrefu utasikia kapewa ubalozi wa nchi za Ulaya kula mishahara ya bure na kula bata.
Kwa kweli hii nchi tunatia huruma.
Yaani mimi ilikuwa nikimuona mtu anampinga Sera za Magufuli nachukulia kama hajielewi na hajui anachokitaka maana ndio rahisi wa pekee ambaye alijitoa kuivunja hii mifumo ya kuwekana ndugu kwenye vitengo angalau vijana wasomi wasiokuwa na connection walianza kung'aa.
Mkapa sidhani kama alikuwa na watoto.Watoto wa Mkapa na JPM wote ni masikini
Lipa kodi wewee
Ni rahisi sana kama raia wakishikana wakawa ni kitu kimoja.Daaah! Kenya wale vijana wamewezaje jamani!!!!!????
Ndo maana professor mgaya amekuajiri uwe secretary wake?Nimesoma na Salim ASAS Darasa Moja Dawati Moja shule ya Bakwata The Highlands ππ
Hata mwamba Kiranga na marehemu Lemutuz wamepiga shule hapo.Binafsi nimesoma kayumba shule ya msingi forodhani.
Watoto wa kikwete kina ridhiwani, miraji tumesoma nao
Watoto wa gavana BOT tumesoma nao
Enzi zile kayumba zilikuwa zina heshima zake
Dogo Smart911 (silver spoon fed and raised) amesoma IST na Braeburn.IST , HOPAC,ISM,BRAEBURN,FEZA etc
Kwahiyo Polepole siyo Kiongozi? πMbona unatutajia wawakilishi- bunge siyo kiongozi ni mwakilishi
Mgaya kasoma Tosamaganga na JK ππNdo maana professor mgaya amekuajiri uwe secretary wake?
Sio kweli Mkuu,pale UDSM asilimia 90 ya wanosama course za Engeering ni toka hizi shule za kayumbaSiku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
Unazungumzia UDSM ya akina Prof Luhanga au hii ya jilala? πΌSio kweli Mkuu,pale UDSM asilimia 90 ya wanosama course za Engeering ni toka hizi shule za kayumba
Zamani imeenda na wachuna nchi ,umeona wapi mtoto wa miaka chini 20 miliki v8 ? Kama sio tz tu Mungu anaenda likomboa Taifa hili sio mda asema Bwana na mda MwalimSiku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars
Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns
Nawatakia Sabato Njema ππ
SIYO KIONGOZIKwahiyo Polepole siyo Kiongozi? π
TULIA WEWEEESIYO KIONGOZI
Acha kutudanganya. Hao uliowataja hakuna hata moja aliyesoma elimu ya tanganyika huru ya uswahilini. Hao wote walisoma elimu ya Mkoloni ya Cambridge curricula ya mfumo wa 4-4 then Makerere. Katika kosa alifanya Nyerere ni kuondoa English katika lugha za ufundishaji na kuanza kutufundisha habari za akina Kinjekitile Ngwale na habari za kilimo cha pamba Mwanza kwa nchi nzima badala watoto wa Mwanza kusoma habari za Pamba na sisi wa umasaaini kufundisha ufugaji wa kisasa.Enzi hizo hazipo tena. Ni watoto wa kawaida walisomeshwa bure na TANU, bilavutajiri, bila jina, bila kuchonga, bila matusi bila tumehuru. Tukapata maprofesa Baregu, Palamagamba, Nyerere, Pengo, kwa uzalendo mkubwa.