Zamani Watoto wa Matajiri na Masikini tulisoma Shule Moja mfano Mbowe na Ndugai, hii ilidumisha Uzalendo

Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Changamoto kwa kweli
 
Na Abdul wa kizimkazi anakuja kwa kasi ya super Sonic, sasa hivi anaishi Dubai kwenye nyumba yakununua na ni rafk wa adui wa taifa( Rostam Aziz)
Hata yule wa kike naona anaanza kufanyishwa mazoezi ya uongozi na kuongea mbele za watu muda sio mrefu utasikia kapewa ubalozi wa nchi za Ulaya kula mishahara ya bure na kula bata.
Kwa kweli hii nchi tunatia huruma.
Yaani mimi ilikuwa nikimuona mtu anampinga Sera za Magufuli nachukulia kama hajielewi na hajui anachokitaka maana ndio rahisi wa pekee ambaye alijitoa kuivunja hii mifumo ya kuwekana ndugu kwenye vitengo angalau vijana wasomi wasiokuwa na connection walianza kung'aa.
 
Daaah! Kenya wale vijana wamewezaje jamani!!!!!????
 
Ni rahisi sana kama raia wakishikana wakawa ni kitu kimoja.
Kwa Bongo ni ngumu kwa sababu wasaliti ni wengi imagine wenyewe mmepanga kupitia mitandao kwamba muingie barabarani vijana wa nchi nzima halafu ukifika muda wa kuingia barabarani mnajikuta mpo watu 20 tu si lazima utaishiwa nguvu mapema sana
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Sio kweli Mkuu,pale UDSM asilimia 90 ya wanosama course za Engeering ni toka hizi shule za kayumba
 
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school

Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns vs Bush Stars

Na mwisho kiuhalali kabisa Teuzi lazima ziwahusu Born Towns

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Zamani imeenda na wachuna nchi ,umeona wapi mtoto wa miaka chini 20 miliki v8 ? Kama sio tz tu Mungu anaenda likomboa Taifa hili sio mda asema Bwana na mda Mwalim
 
Enzi hizo hazipo tena. Ni watoto wa kawaida walisomeshwa bure na TANU, bilavutajiri, bila jina, bila kuchonga, bila matusi bila tumehuru. Tukapata maprofesa Baregu, Palamagamba, Nyerere, Pengo, kwa uzalendo mkubwa.
Acha kutudanganya. Hao uliowataja hakuna hata moja aliyesoma elimu ya tanganyika huru ya uswahilini. Hao wote walisoma elimu ya Mkoloni ya Cambridge curricula ya mfumo wa 4-4 then Makerere. Katika kosa alifanya Nyerere ni kuondoa English katika lugha za ufundishaji na kuanza kutufundisha habari za akina Kinjekitile Ngwale na habari za kilimo cha pamba Mwanza kwa nchi nzima badala watoto wa Mwanza kusoma habari za Pamba na sisi wa umasaaini kufundisha ufugaji wa kisasa.
 
Back
Top Bottom