LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Huko katika ukurasa wa Instagram baada ya kusemekana kuwa mtoto wa kajala hakuwa na matokeo mazuri katika mtihani wa kidato cha nne, mastaa mbali mbali walijitokeza kwa wingi wakimkingia kifua mtoto huyu na mmoja wapo alikuwa ni Zamaradi Mketema
Zamaradi alimtia moyo mtoto huyu kwa kumfananisha na billgate kwani hata yeye alofeli na leo ni tajiri wa dunia, ndipo watu kwa Hasira walipovamia page yake na kumwambia asimfananishe paula na Billgate
My take
Mambo yote yanayomkuta huyu mtoto ni kutokana na tabia za mama yake kumchoresha kwenye mitandao angali hata shule Hakumaliza ni vyema angemtuliza tu kimya kimya kuliko kumtangaza tangaza mwishowe watu wamemuanika
Pili zamaradi uache kuandika magazeti ambayo hayana kichwa wala mguu, Billget hakufeli shule yule alikuwa ni Genious ambaye alikuwa na skills za computer kuzidi hadi walimu wake, alifika hadi chuo kikuu bora zaidi duniani na akaacha mwenyewe ili afanye anachokiamini, pia uwakanye hawa mabinti wa skuizi
Mtoto wa kike yupo form two tayari anasmartphone kali , hasomi kazi kukesha mtandanoni akisaka mabwana, unategemea atasoma saa ngapi, na mmoja wao ni huyu paula kutwa nzima kujichoresha yeye na mama yake wamevaa vichupi instagram alafu unasema atakuja kuwa billget?
Sent using Jamii Forums mobile app