Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Nimemsoma Zamaradi but sijaona mahali alipokosea; hivi mtoto amefeli shule (regaless sababu zilizo sababisha kufeli kwake ) ungekua wewe ungemshauri nini? Kurudi shule?? Yes, may be anaweza kurudi na akafeli tena, mifano ya wa hivyo tunayo mingi; kama mzazi ( remember Zamaradi ni mzazi pia ) unamshauri vipi mtoto aliyefeli shule?

Niliwahi kua karibu na kijana fulani miaka ya nyuma wakati Zinadine Zidan kasajiriwa Real Madrid, Barcelona walikua na Ronaldo De Lima; dogo mmoja alikua anazuga kwa wazazi wake kwamba anajisomea group discussion, kwa uelewa wangu wa elimu, niligundua dogo hasomi cause kabla ya kwenda kwenye hizo group discussion, yeye na marafiki zake walikua wametoka kuangalia mpira, enzi hizo DTV ( sasa channel 10 ) walikua wanaonesha mpira; siku moja nikamuonya sana kuhusu hilo, mama yake akawa mkali sana, nikaacha; alipofika form 4 nikamuonya sana, well, mitihani ya form 4 akafeli, four ya point 28. Mwaka mzima sikusema nae chochote, baadae maisha yakiwa tilt sana kwake nikamrudia na kuanza kufanya nae cancelling kubwa, kwamba kufeli shule sio kufeli maisha, nikampa mifano ya watu kadhaa ninao wafahamu ambao wametoboa maisha (sio matajiri but hela ya kula wanayo ). Nakumbuka nilimtajia jina la jamaa mmoja alikua maarufu sana miaka hiyo kwamba nae alizungusha form 4 but look at him now; dogo alinishukuru sana na sasa yupo nje ya nchi kimaisha. Wengi mnao mponda Zamaradi huenda bado ni wadogo, hamna watoto. Narudia, mtoto kafeli shuleni, wewe kama mzazi unadhani utamshauri nini? Kuna mdau kabisha hapo juu kwamba eti Bill Gate hakufeli chuo kikuu; huyu nae hajui hata anaongea nini, asichanganye kati ya Bill Gate na mmiliki wa Facebook, huyu wa Facebook ndio aliacha mwenyewe shule but Bill alifeli, narudia ALIFELI chuo kikuu
Wewe ndio umefeli kumuelewa Bill gates

Jamaa hakufeli [emoji1][emoji1][emoji1]

Mbona Mambo yako wazi sema umeamua kushikilia msimamo Ila mjadala uendele una propose motion katika debate [emoji1][emoji115]

Ila ukweli unaujua Bill gates hakufeli chuo aliacha kwa sababu zake .
 
Sina haja ya kuweka. A simple google search will give you all the details about Bill Gates' time at Havard, ndio maana watu wanakushangaa unaposema alifeli. Mimi kwenye mambo ya Zamaradi simo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaka, kuna watu wanapata division 1 A level na wana drop university, weka profile ya Bill humu kutoka kwenye source zinazo julikana, tunabishana nini? Bill mwenyewe aliisha wahi kuwaambia wanafunzi wa chuo kikuu kimoja kuhusu hilo; Zamaradi sio kilaza kumtolea mfano Bill; sikutaka sana ku base kwenye hili la Bill but naona mnaendelea na ubishi; google tu hilo, lipo wazi, Bill ali drop mwaka 2 Havard university; wazo la kuanzisha Microsoft cooperation alilipata baada ya ku fail chuo, alijiuliza hivi; "haya niliosomea siwezi kuyaweka into actions?" the rest is history
Unasema aliDrop then unasema Ali Fail chuo mbona hueleweki.
 
Back
Top Bottom