Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Taratibu lakini kwa uhakika mtoto anaingizwa kwenye mifumo ya Kikahaba na Wadau wengine
 
Mimi sina shida na huyo mtoto,ila huyo zama sijui.

Huyu mother bogus kweli, nadhani angeendelea kubaki kimya tu.

Bandiko lake always ni kama anaandika kitabu,alafu anatema pumba tu.

Ukimya aliokuwa nao pindi yupo na ruge ilikuwa bora 100x kuliko sasa.

Yaani hata kuishi na mwanamke Wa aina yake huwa nawazaga,ni Bomu kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemsoma Zamaradi but sijaona mahali alipokosea; hivi mtoto amefeli shule (regaless sababu zilizo sababisha kufeli kwake ) ungekua wewe ungemshauri nini? Kurudi shule?? Yes, may be anaweza kurudi na akafeli tena, mifano ya wa hivyo tunayo mingi; kama mzazi ( remember Zamaradi ni mzazi pia ) unamshauri vipi mtoto aliyefeli shule?

Niliwahi kua karibu na kijana fulani miaka ya nyuma wakati Zinadine Zidan kasajiriwa Real Madrid, Barcelona walikua na Ronaldo De Lima; dogo mmoja alikua anazuga kwa wazazi wake kwamba anajisomea group discussion, kwa uelewa wangu wa elimu, niligundua dogo hasomi cause kabla ya kwenda kwenye hizo group discussion, yeye na marafiki zake walikua wametoka kuangalia mpira, enzi hizo DTV ( sasa channel 10 ) walikua wanaonesha mpira; siku moja nikamuonya sana kuhusu hilo, mama yake akawa mkali sana, nikaacha; alipofika form 4 nikamuonya sana, well, mitihani ya form 4 akafeli, four ya point 28. Mwaka mzima sikusema nae chochote, baadae maisha yakiwa tilt sana kwake nikamrudia na kuanza kufanya nae cancelling kubwa, kwamba kufeli shule sio kufeli maisha, nikampa mifano ya watu kadhaa ninao wafahamu ambao wametoboa maisha (sio matajiri but hela ya kula wanayo ). Nakumbuka nilimtajia jina la jamaa mmoja alikua maarufu sana miaka hiyo kwamba nae alizungusha form 4 but look at him now; dogo alinishukuru sana na sasa yupo nje ya nchi kimaisha. Wengi mnao mponda Zamaradi huenda bado ni wadogo, hamna watoto. Narudia, mtoto kafeli shuleni, wewe kama mzazi unadhani utamshauri nini? Kuna mdau kabisha hapo juu kwamba eti Bill Gate hakufeli chuo kikuu; huyu nae hajui hata anaongea nini, asichanganye kati ya Bill Gate na mmiliki wa Facebook, huyu wa Facebook ndio aliacha mwenyewe shule but Bill alifeli, narudia ALIFELI chuo kikuu
 
Celebrities wa kibongo huwa wanaona wameyapati sana maisha na akili zao za kuunga unga

yan daaah, anajisahau ye mwenyewe kawa famous sababu ya kukazwa na Ruge alosoma Ulaya which means huenda bila Ruge kusoma ulaya asingekuwa nae angekuwa bado ana meno marefu kama nguchiro anafhani tumemsahau kabla ya clouds alivyokuwa...Amshukuru sana Ruge yule zama
 
Nimemsoma Zamaradi but sijaona mahali alipokosea; hivi mtoto amefeli shule (regaless sababu zilizo sababisha kufeli kwake ) ungekua wewe ungemshauri nini? Kurudi shule?? Yes, may be anaweza kurudi na akafeli tena, mifano ya wa hivyo tunayo mingi; kama mzazi ( remember Zamaradi ni mzazi pia ) unamshauri vipi mtoto aliyefeli shule?

Niliwahi kua karibu na kijana fulani miaka ya nyuma wakati Zinadine Zidan kasajiriwa Real Madrid, Barcelona walikua na Ronaldo De Lima; dogo mmoja alikua anazuga kwa wazazi wake kwamba anajisomea group discussion, kwa uelewa wangu wa elimu, niligundua dogo hasomi cause kabla ya kwenda kwenye hizo group discussion, yeye na marafiki zake walikua wametoka kuangalia mpira, enzi hizo DTV ( sasa channel 10 ) walikua wanaonesha mpira; siku moja nikamuonya sana kuhusu hilo, mama yake akawa mkali sana, nikaacha; alipofika form 4 nikamuonya sana, well, mitihani ya form 4 akafeli, four ya point 28. Mwaka mzima sikusema nae chochote, baadae maisha yakiwa tilt sana kwake nikamrudia na kuanza kufanya nae cancelling kubwa, kwamba kufeli shule sio kufeli maisha, nikampa mifano ya watu kadhaa ninao wafahamu ambao wametoboa maisha (sio matajiri but hela ya kula wanayo ). Nakumbuka nilimtajia jina la jamaa mmoja alikua maarufu sana miaka hiyo kwamba nae alizungusha form 4 but look at him now; dogo alinishukuru sana na sasa yupo nje ya nchi kimaisha. Wengi mnao mponda Zamaradi huenda bado ni wadogo, hamna watoto. Narudia, mtoto kafeli shuleni, wewe kama mzazi unadhani utamshauri nini? Kuna mdau kabisha hapo juu kwamba eti Bill Gate hakufeli chuo kikuu; huyu nae hajui hata anaongea nini, asichanganye kati ya Bill Gate na mmiliki wa Facebook, huyu wa Facebook ndio aliacha mwenyewe shule but Bill alifeli, narudia ALIFELI chuo kikuu
Acha uongo. Bill Gates hakufeli.
 
Acha uongo. Bill Gates hakufeli.
OK, ili tusibishane sana na kuifanya topic kua ndefu, wewe kama mzazi in case umekutana na mtoto kafeli shule, awe ni mwanao au mtoto wa yeyote and regardless sababu za kufeli kwake, unadhani utamwambia nini? Only stupi parent(s) ndio atamlaumu, a wise parent(s) will show her/him anaother alternatives, wewe utachagua ipi? Remember lawama hazibadiri maana, huenda hata mgonjwa wa ukimwi nae anaweza kulaumiwa kwa tabia zake, je hua tunalaumu au tunawaelekeza nini cha kufanya ili maisha yaendelee!?
 
Ulichoandika hakihusiani na nilichokiongea. Mimi nimepinga upotoshaji kwamba Bill Gates alifeli chuo wakati sio kweli. Hayo ya mtoto kafeli sina shida nayo. Kila mzazi ana jinsi ya kuyatatua, right or wrong.
 
Wasichokijua wengi kuhusu Billgate ni kudhani kuwa alifeli, ilihali si hivyo.

Huyu bwana aliamua kudrop chuo makusudi tuu kwa sababu angesema aendelee basi leo hii Window OS isingekuwa mali yake.

Najua wengi hamtaelewa ila ukweli ni kwamba mwanzo hii OS alikuwa akiifanya kama final year project ambapo angeruhusu ku be awarded marks basi project ingebaki kuwa mali ya chuo.

Juzi kati UDOM wametangaza mfumo wa kutrack matumizi ya umeme kwa njia ya simu lakini ile ilikuwa project ya wanafunzi na sijaona hata mmoja akitajwa yote hiyo ni kwamba walikubali kube awarded marks na project inabaki kuwa mali ya chuo.

Kwa hiyo wanaozani Bill Gates alifeli chuo si kweli.

NOTE: Kama kuna makosa naruhusu kusahihishwa.
 
Ulichoandika hakihusiani na nilichokiongea. Mimi nimepinga upotoshaji kwamba Bill Gates alifeli chuo wakati sio kweli. Hayo ya mtoto kafeli sina shida nayo. Kila mzazi ana jinsi ya kuyatatua, right or wrong.
Mkuu, weka profile ya Bill hapa tuone; ingawa topic nzima ni namna Zamaradi alivyo mjenga mtoto Paula, kutofautiana kwa mifano sio muhimu sana kama kutengeneza future ya huyo binti. Weka profile ya Bill Gate humu tuone kama ali feli au alifauru Havard university
 
Bill Gates was a National Merit Finalist, he had 1590/1600 on his SAT and he got into Harvard...huwez kwenda havard kama we maksi zako ni za chini , mkuu ni HAVARD sio institute of Technology mwenge. Bill hakufeli shule na hakuwa na hakuwa na haja na matokeo makubwa japokuwa high school alipasua si umeona hapo juu, sababu jamaa hajawah kuajiriwa na mtu yeyote yule...
 
Yani JF Celebrities IKIIIIIIAAAANZA TU KUKUJADILI.

UJUE ANGUKO LAKO LIKO HATUA CHACHE TOKA ULIPO.
 
Bill Gates was a National Merit Finalist, he had 1590/1600 on his SAT and he got into Harvard...huwez kwenda havard kama we maksi zako ni za chini , mkuu ni HAVARD sio institute of Technology mwenge. Bill hakufeli shule na hakuwa na hakuwa na haja na matokeo makubwa japokuwa high school alipasua si umeona hapo juu, sababu jamaa hajawah kuajiriwa na mtu yeyote yule...
Kaka, kuna watu wanapata division 1 A level na wana drop university, weka profile ya Bill humu kutoka kwenye source zinazo julikana, tunabishana nini? Bill mwenyewe aliisha wahi kuwaambia wanafunzi wa chuo kikuu kimoja kuhusu hilo; Zamaradi sio kilaza kumtolea mfano Bill; sikutaka sana ku base kwenye hili la Bill but naona mnaendelea na ubishi; google tu hilo, lipo wazi, Bill ali drop mwaka 2 Havard university; wazo la kuanzisha Microsoft cooperation alilipata baada ya ku fail chuo, alijiuliza hivi; "haya niliosomea siwezi kuyaweka into actions?" the rest is history
 
Sio kweli kaka, Bil Gates hakudrop chuo kuwa kuwa alifeli Bali kea sababu akiona anapoteza time kudesa. Akaamua aanzishe vyake, lakini hakuwahi deli shuleni
 
Kaka, kuna watu wanapata division 1 A level na wana drop university, weka profile ya Bill humu kutoka kwenye source zinazo julikana, tunabishana nini? Bill mwenyewe aliisha wahi kuwaambia wanafunzi wa chuo kikuu kimoja kuhusu hilo; Zamaradi sio kilaza kumtolea mfano Bill; sikutaka sana ku base kwenye hili la Bill but naona mnaendelea na ubishi; google tu hilo, lipo wazi, Bill ali drop mwaka 2 Havard university; wazo la kuanzisha Microsoft cooperation alilipata baada ya ku fail chuo, alijiuliza hivi; "haya niliosomea siwezi kuyaweka into actions?" the rest is history
Hapo kwenye kufeli UNATUUZIA CHAI,Bill Gate hajawahi kufeli kama ili kwa Mark Zuckerberg wa Facebook.Ila walidrop wenyewe sababu walikuwa na idea zao za kibiashara,wakaona shule itawachelewesha kushika hela.

Alafu kama hujui huyo Bill Gate mwenyewe bado anasoma,ila anapenda kujisomea mwenyewe hataki hizi presha za malecture za kukimbizana na mitihani,Quiz,test ,Assignment.

Nilimsikia kwenye intvw moja akisema still anasoma Business Administration na Human Resources ili zimsaidie ktk kumanage makampuni zake.

Huku Mark yeye mwenyewe amejikita katika maswala ya Artificial Intelligence kwa sasa.
 
Kaka, kuna watu wanapata division 1 A level na wana drop university, weka profile ya Bill humu kutoka kwenye source zinazo julikana, tunabishana nini? Bill mwenyewe aliisha wahi kuwaambia wanafunzi wa chuo kikuu kimoja kuhusu hilo; Zamaradi sio kilaza kumtolea mfano Bill; sikutaka sana ku base kwenye hili la Bill but naona mnaendelea na ubishi; google tu hilo, lipo wazi, Bill ali drop mwaka 2 Havard university; wazo la kuanzisha Microsoft cooperation alilipata baada ya ku fail chuo, alijiuliza hivi; "haya niliosomea siwezi kuyaweka into actions?" the rest is history

bill hakufeli
 
Kaka, kuna watu wanapata division 1 A level na wana drop university, weka profile ya Bill humu kutoka kwenye source zinazo julikana, tunabishana nini? Bill mwenyewe aliisha wahi kuwaambia wanafunzi wa chuo kikuu kimoja kuhusu hilo; Zamaradi sio kilaza kumtolea mfano Bill; sikutaka sana ku base kwenye hili la Bill but naona mnaendelea na ubishi; google tu hilo, lipo wazi, Bill ali drop mwaka 2 Havard university; wazo la kuanzisha Microsoft cooperation alilipata baada ya ku fail chuo, alijiuliza hivi; "haya niliosomea siwezi kuyaweka into actions?" the rest is history

Mkuu, weka profile ya Bill hapa tuone; ingawa topic nzima ni namna Zamaradi alivyo mjenga mtoto Paula, kutofautiana kwa mifano sio muhimu sana kama kutengeneza future ya huyo binti. Weka profile ya Bill Gate humu tuone kama ali feli au alifauru Havard university
Sina haja ya kuweka. A simple google search will give you all the details about Bill Gates' time at Havard, ndio maana watu wanakushangaa unaposema alifeli. Mimi kwenye mambo ya Zamaradi simo.
 
Back
Top Bottom