Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Nakuunga mkono mkuu.Watu wanachanganya sana matukio, Bill Gates alikuwa genius aliandika program za computer ambazo hata professor wake hakuwa na idea nazo kwa kipindi hiko, hata Albert Einstein ambaye naye alikuwa kilaza darasani na alikuwa slow kuelewa masomo anayofundishwa naye alikuwa genius, so kutofanikiwa kwa hawa jamaa kwenye madarasa yao ya awali hakufanani na matukio ya wanafunzi wetu, wa kwetu wanafeli kwa kuwa ni pure vilaza, hawataki kusoma, hawana ambition wala ubunifu, akina gates walikuwa wanaacha masomo wakafanye project zao wakazifanikishe, sasa muulize mtoto huyo aliyefeli alikuwa anatumia muda wake kwenye project gani zilizokuwa zinammalizia muda hamna, ni pure kilaza, tuache kuwapa matumaini ya kijinga, wasome waache ufala
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi vijana wa sasa tukiskia watu walofanikiwa na kuskiliza historia zao vifuani mwa watu basi hua tunafkiria kila kitu rahisi.
Laiti tungelijua njia ambazo hao watu waliofanikiwa bas tusingesema maneno ya uozo ya kupeana moyo.
Hata yule ambae alilala akaota anakua billionaire na akaamka akiwa kweli billionaire hio ndoto yake sisi vilaza hatuwezi kuivumilia mpaka kuimalizia.
Sent using Jamii Forums mobile app