Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Huko katika ukurasa wa Instagram baada ya kusemekana kuwa mtoto wa kajala hakuwa na matokeo mazuri katika mtihani wa kidato cha nne, mastaa mbali mbali walijitokeza kwa wingi wakimkingia kifua mtoto huyu na mmoja wapo alikuwa ni Zamaradi Mketema

Zamaradi alimtia moyo mtoto huyu kwa kumfananisha na billgate kwani hata yeye alofeli na leo ni tajiri wa dunia, ndipo watu kwa Hasira walipovamia page yake na kumwambia asimfananishe paula na Billgate

View attachment 1006398
View attachment 1006399

My take

Mambo yote yanayomkuta huyu mtoto ni kutokana na tabia za mama yake kumchoresha kwenye mitandao angali hata shule Hakumaliza ni vyema angemtuliza tu kimya kimya kuliko kumtangaza tangaza mwishowe watu wamemuanika

Pili zamaradi uache kuandika magazeti ambayo hayana kichwa wala mguu, Billget hakufeli shule yule alikuwa ni Genious ambaye alikuwa na skills za computer kuzidi hadi walimu wake, alifika hadi chuo kikuu bora zaidi duniani na akaacha mwenyewe ili afanye anachokiamini, pia uwakanye hawa mabinti wa skuizi

Mtoto wa kike yupo form two tayari anasmartphone kali , hasomi kazi kukesha mtandanoni akisaka mabwana, unategemea atasoma saa ngapi, na mmoja wao ni huyu paula kutwa nzima kujichoresha yeye na mama yake wamevaa vichupi instagram alafu unasema atakuja kuwa billget?



Sent using Jamii Forums mobile app
Anabanduliwa huyo sister tena na analiwa na makinikia kabisa! Anajua historia za hao anaowataja?

Thomas Edison alishakataa mbele ya mahakama kuitwa kilaza na gazeti moja wakati wa uhai wake.

Huyu sister hata yeye mwenyewe ni kilaza tu amebeba vyeti ambavyo havimsaidii kitu zaidi kupata kula yake ndiyo maana anasimama katika jamii anatoa mifano duni kwa mtoto ambaye anahitaji muongozo imara kutoka kwa watu makini. Mtoto ambaye mama yake kashindwa kumlea. Ukienda You tube video chafu kibao.

Atakayemuoa au anayemkula Zamaradi anafuata Papuchi na sio akili yake. Napata mashaka hata malezi ya wanae wa kuwazaa.


Wanaumeee! Tusioe wanawake wasioweza kutoa ushauri! Familia yako itakuwa mbovu
 
Kumiliki smartphone,kuvaa chupi instagram sio sababu ya kufeli.Kumbuka kuna mabinti hawana
smartphone na hawajui chochote kuhusu instagram lakini wamepata zero as if wametumwa na kijiji.
Trust me kuna mabinti wavaa vichupi instagram,wana mabwana zaidi ya wawili ,wanapiga bangi na pombe balaa lakini darasani wanakimbiza balaa. Bila shaka huyo binti hana akili ya darasani ndio maana kafeli, ila kama ana akili ya maisha atafanikiwa kama Bill gate.
Halafu kuna watu wanashangilia kufeli kwa huyu binti kisa ni mtoto wa star.
Uchawi sio mpaka upae.
Samahani kama nimekukwaza.
USIKU MWEMA.
Unawajua kuwa kuna watu wana elimu ya ufunuo?
Mimi nilikuwa naota nafundishwa hesabu, na style yangu ya kusoma nikupitisha macho, napenda kuangalia pilau, pc yangu chuoni ilikuwa na GB 10 Ni kikesha usiku kusoma jua wazi masaa matatu ni pilau hapo, mawili msuli. Story za kutosha. Mchana

Na kuhusu migegedo usiseme hata kama kesho paper no kulemba.

Nadhani wewe ulifunga zipu. Mpaka sasa najua reference zote nilizopitia.

Waliokuwa na shida ya reference. Walikuja kwangu.

Kwanini?

Wazazi wangu baba na mama walinipa mazingira mazuri sana. Niliandaliwa kabati, kiti na meza kuanzia o level mpaka A level. Na mpaka kesho nondo zangu zipo.
Wazazi walisapoti juhudi zangu.

Swali mama msambwanda amesapoti vipo juhudi za mwanae baada ya kumpeleka shule?

Chanzo cha maendeleo duni ya mtoto ni mama yake. Kubali ukatae tu. Mpaka nipo University nakula pesa ya mama bado kuhusu masomo yangu mbali na HESLB.

Tuache mzaha elimu mazingira
 
Acha wafarijiane ila asingemtumia billy angejitumia yeye na kumtaka avumilie tu wataibuka akina ruge wengine mbeleni wa kumkomboa.

Nchi nzima wamefeli wengi ila kisa mama biko baasi paula kageuka empty set kila kona.

Kajala abebe mzigo wake tu,wabongo tuna wivu sana nae akazidi kuturusha roho mara birthday hadi video shoot,mikeki ya maana mashauzi kama yote. Baada ya mitihani tulikomaje kila siku ni photoshoots, minguo ya bei mbaya,makeups, viatu,nywele wacha weee
Itabidi atuwekee screenshot za reault slip au vp?
 
Hivi walio fanikiwa bila kwenda shule wako marekani tu , hapa tanzania hawapo? kwanini asitumie mifano hai ya watu hao? . Maisha ya insta ni maisha ya hisia sana kuliko uhalisia. hivi huyo binti ana uzuri gani ? mbona mabinti wengi ni wazuri na kichwani wako vizuri.


Unamuonaje jokate (wa kisarawe), shule ipo na akili ipo! Na ni muri kuliko huyo pimbi mtoto
 
Mimi sina shida na huyo mtoto,ila huyo zama sijui.

Huyu mother bogus kweli, nadhani angeendelea kubaki kimya tu.

Bandiko lake always ni kama anaandika kitabu,alafu anatema pumba tu.

Ukimya aliokuwa nao pindi yupo na ruge ilikuwa bora 100x kuliko sasa.

Yaani hata kuishi na mwanamke Wa aina yake huwa nawazaga,ni Bomu kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama anaeyemsuka mwanae wa kiume wa miaka 6 Rasta sijui vipili pili Ni bogus boga empty set hajielewa .

Uzungu mwingi mwisho Ni mburula tu

Hawezi kukupa ushauri constructive ukakujenga.

Huyo zamaradi Ni bwege tu.

Anamtia ujinga zaidi Huyo binti.
 
Back
Top Bottom