Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Ndo nilichomaanisha, watu huwa tunachanganya sana mambo, tunafananisha magenius na mabolizozo, ni bora akamfananisha na diamond ambaye sijui hata km alienda shule yoyote ila anaishi maisha bab kubwa, huyo ndo wanafanana naye,Tatizo wabongo wengi tunadanganyana upuuzi. Billgate hakuwai kufeli sehemu yoyote katika elimu yake in short he was the best mpaka akafika havard. He is a dropout and not a failure same to mark and many more. Hawa watu elimu haikuwai kuwashinda bali wao walikuwa na akili nyingi na hawakuona umuhimu wa kuendelea kusoma kwa kipind hiko.
Tupeane moyo lakini tusitoe mifano ya uongo ili kuwapa moyo. Kufeli shule sio kufeli maisha coz elimu ya darasani ni njia moja tu ya kufikia mafanikio bado ana nafasi kibao tu za kutoboa.
Lakini kunfananisha genious billgates na mark na hao ngumbaru wa mtaani wanaopata div zero ni kuwashushia heshima hawa magenious
Nawasilisha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app