kaka una hasira duh, haya tumeshaelewainavyoonekamna kashirikiana na huyo jamaa sijui mpopo anaitwa john kay huyo black ,waongze vipande upya vya kina wema waizindue cinema na kupiga hela tena hapa bongo probably na sponsorship juu. NI WIZI NA KUFANYANA WAJINGA, si useme tu tumefanya second release? ya nini kufanyana watoto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Zamaradi kwanini adanganye wabongo kiasi hiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aibu hii
yaap wana mapinduzi wa bongo movie washaifuta,mwanangu nzagambadume anaitafuta kaandika barua ya malalamiko netflix wanahitaji ile attachment,msaada wenu kwa aliye nayo,kuna mtu atafungwa mwaka huu au kulipa milioni 500 fine kwa kuchezea logo za watu kitapeliUsiniambie ile trailer imefutwa [emoji23][emoji23][emoji23] niliona ikiwa na logo ya netflix nikasema maendeleo chilonda watu wanafuata nyayo za lion heart[emoji15][emoji15][emoji15]
Hahahaaaa mimi niliishia kati kuangalia maana trailer yenyewe iliniboayaap wana mapinduzi wa bongo movie washaifuta,mwanangu nzagambadume anaitafuta kaandika barua ya malalamiko netflix wanahitaji ile attachment,msaada wenu kwa aliye nayo,kuna mtu atafungwa mwaka huu au kulipa milioni 500 fine kwa kuchezea logo za watu kitapeli
Duh tulikuwa hatujui sembeZamaradi tangia nilivyo jua, anatumia vitu vizito mithili ya Cocaine niliamua kuacha kumfuatilia kabisa, sijui umepata wapi time la kumfuatilia
Sababu pia amekuzidi kufakeMtu sijawahi mwelewa ni huyu dada. Japo najua ananizidi fans, watoto na Pesa labda ila sijuagi why watu wanampa sifa zote hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
wa na adjust kidogo,karekodiwa mtu australia akma anaongea na simu kumpigia auntie kwamba kitu fulani kimetokea then huku auntie anajibu kwa simu ,kuonyesha kuna connection ya australia na bongo,mbona rahisi sana hiyo.INAITWAGA REMIX.Sasa kama wema na aunt wameingizwa ,,kwenye movie wanaongeaje na wale waliokuwemo tayari
LAKINI SIO KWA KKUDANGANYA UMMA KWAMBA UMEZALISHA WEWE KUMBE KITU NI USED KAMA BIKRA YA SHABO NA NDIMU.................................MDAU HAJAKOSEA AMEONA BORA ASEME TU. HATA MIMI NIMEANGALIA HII MOVIE IKO UNDER RATED SANA KWA UFAHAMU NA UZOEFU WANGU WA KUFUATILIA MOVIE. YAANI DEVIL KINGDOM IKIWEKWA JUU YA MEZA HII INAACHWA KABISA KABISA TENA MBALI HUKOkwa nn wabongo tunapenda sana kukosoa kuliko kupongeza jamani mpeni pongezi zakee
NI KWELI MDAU, NI PALE ALIPOTUMIWA SMS NA JAMAA, KWAMBA DADA MAMA NI MZIMA, TUNARUDI NYUMBANIwa na adjust kidogo,karekodiwa mtu australia akma anaongea na simu kumpigia auntie kwamba kitu fulani kimetokea then huku auntie anajibu kwa simu ,kuonyesha kuna connection ya australia na bongo,mbona rahisi sana hiyo.INAITWAGA REMIX.