mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,877
kaka una hasira duh, haya tumeshaelewainavyoonekamna kashirikiana na huyo jamaa sijui mpopo anaitwa john kay huyo black ,waongze vipande upya vya kina wema waizindue cinema na kupiga hela tena hapa bongo probably na sponsorship juu. NI WIZI NA KUFANYANA WAJINGA, si useme tu tumefanya second release? ya nini kufanyana watoto?