Zamaradi acha makelele, hamuwezi ku-control kila kitu

hahaaaaaa usijali ikifkia hadhi ya movie za kuambiana au kanumba sawaa
I hate to say this but level zangu sio za Bongo Movie wala Naija na ndio maana kwa sasa nimeamua kukausha hadi wakati muafaka utakapofika! Na siku au mwaka wowote ukisikia audition infanyika kupitia JF then just know ndo nimeamua kuanza... trust me, team yangu (sio hizi zenu za Team Kiba/Team Chibu) nimekusudia itokee hapa hapa JF; hususani timu ya waigizaji!!!! Halafu nikumegee siri; namtamani sana Le Mutuz coz' my ambition is more in political thriller na sio hizi za akina baba mwenye nyumba kupiga mimba ma-house girl!
 
Mdakuzi na chige nimependa discussion yenu.
Tunahitaji watu wenye uhuru wa mawazo kama ninyi, nikiamini uhuru wa mawazo huja pale unapokuwa na ushahidi sambamba na weledi yakinifu katika kile unachokisimamia. hongereni sana.
 
Last edited by a moderator:

all the best mine tutakua pamoja
 

duuhh! Kaazi kweli kweli.
Ila bongo movie bado sana.
 

Umemaliza sina nyongeza mrs ruge pita hapa acha kelele zako bila point za msingi!
 
duuhh! Kaazi kweli kweli.
Ila bongo movie bado sana.
kichunafk, hilo la kwamba bongo movie bado sana ni kweli kwa 800%... yaani bado sana tu na tuna safari ndefu but don't worry, tutafika tu! Binafsi, ingawaje najitahidi sana kuwaunga mkono lakini sijawahi kuangalia movie ya kibongo mwanzo hadi mwisho kabla haijaniboa!!!! Sometimes wanafanya very stupid mistakes kama lile la jambazi kuvua viatu kabla hajaingia ndani!!!! Yaani hata kama mwenye nyumba aligoma watu kuingia ndani na viatu lakini the whole crew wakakosa kabisa ubunifu wa papo kwa papo kama kutafuta namna ya kuhalalisha jambazi kuingia bila viatu...
View attachment 213366
 
huogopi ???

ndio shida ya kuwa na mapresenter madivishen 5, usitegemee analysis ya kisomi toka kwa Zamaradi Mketema.yeye ni bendera fuata upepo angalia hata show yake ya "TAKE ONE" ilivyo ya kimbea mbea, wanaJF hii show ya TAKE ONE Zamaradi na bwana yake RUGE walimwibia IRENE PAUL.
 
aisee walimuibiaje? hehehehe
 
aisee walimuibiaje? hehehehe

the whole concept ya "take one" ilikuwa ni ya irene paul, na kama mtakumbuka wakati mawingu tv inaanzishwa wakatangaza kuwa maproducer na wenye idea wazipeleke ili zikafanyiwe mchujo, Irene ndo akaioeleka hiyo concept na alirekodi vipindi kadhaa, as you know wasanii wetu walivyo mambumbumbu wala hata hakusajili COSOTA ili kupata hati miliki ndio hapo akaingia master of the show RUGE akampiga chini Irene na kumpa laazizi wake ZAMARADI. Irene alijaribu kufight lkn as you know chozi la samaki huishia baharini. Clouds TV ni wezi wa kazi za watu.
 
tatizo watu wanalazimisha kufanya biashara wakati hawana uelewa wa biashara,analalamika kuuzwa kwa bei rahisi badala na yeye abuni mbinu za kiushindani anabakia na majungu,huyo biashara haiwezi bora abakie kuwa mtangazaji tu
 
Mdakuzi na chige nimependa discussion yenu.
Tunahitaji watu wenye uhuru wa mawazo kama ninyi, nikiamini uhuru wa mawazo huja pale unapokuwa na ushahidi sambamba na weledi yakinifu katika kile unachokisimamia. hongereni sana.

Pamoja sana mkuu. Nashukuru kwa kuona michango yetu. Nadhani tumesema kwa kiwango cha kufahamu kwetu hili jambo. Tupo pamoja.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…