the whole concept ya "take one" ilikuwa ni ya irene paul, na kama mtakumbuka wakati mawingu tv inaanzishwa wakatangaza kuwa maproducer na wenye idea wazipeleke ili zikafanyiwe mchujo, Irene ndo akaioeleka hiyo concept na alirekodi vipindi kadhaa, as you know wasanii wetu walivyo mambumbumbu wala hata hakusajili COSOTA ili kupata hati miliki ndio hapo akaingia master of the show RUGE akampiga chini Irene na kumpa laazizi wake ZAMARADI. Irene alijaribu kufight lkn as you know chozi la samaki huishia baharini. Clouds TV ni wezi wa kazi za watu.
mnh! Manka na wewe...!! Kwanini humpendi mwenzio?Afu zama zimpendi
Hata mtitu naye kashikilia hili bango. But this is a free market, sijui hawalioni hilo...
Watafute mfanyabiashara anayenunua kazi zao kwa bei kubwa labda hawajui maana ya soko huria
Kuna kitu kimoja kuhusu hili suala nimeambiwa leo. Nimeelewa hoja ya wasanii vizuri sana. Kilichofanywa na Steps ni vita dhidi ya waigizaji walioamua kujitoa Steps na kufanya kazi zao kwa kujitegemea.
Kilichotokea ni kwamba, baadhi ya waigizaji wameamua kujitoa chini ya Steps, kwa sababu za wanachodai ni kunyonywa na Steps na kunyimwa haki ya umiliki wa filamu zao.
Mikataba ya Steps inakataa filamu kuwa mali ya msanii, kwa maana kuwa filamu ni mali ya Steps. Na ndio sababu Kanumba amekufa huku akiwa hana hata filamu moja ambayo ni mali yake, na Sajuki pia.
Kwa mikataba hiyo, kunafanya wasanii wasiweze kunufaika na malipo ya vituo vya TV ya kuonesha filamu zao kama vile Zuku, Azam, DStv, Continental, TV 1, Sibuka na nyinginezo. Malipo yote huenda kwa Steps.
Jingine katika mikataba ya Steps ni kutokuwa na ratiba ya uhakika wa utokaji wa filamu ya msanii husika, kwa maana ya filamu kuweza kucheleweshwa kutoka hata zaidi ya miezi sita.
Na kwa bahati mbaya, kwa mujibu wa mikataba ya Steps malipo ya filamu husika hutolewa kwa msanii baada ya mwezi mmoja tangu filamu kuingizwa sokoni. Ni hali ambayo hufanya baadhi ya wasanii kukwama kiuchumi.
Jambo hilo lilifanya baadhi ya wasanii kujiondoa chini ya Steps, kwa kuanza kusambaza wenyewe filamu zao, na kuzipeleka pia kwenye vituo vya TV na kupokea wenyewe malipo yao.
Kwa siku za karibuni kundi kubwa la wasanii linasemekana kuondoka rasmi Steps, akiwemo Aunt Ezeliel, Irene Uwoya, Jacqueline Wolper, Mtitu, Richie, Ndende na wengineo.
Hali hii imemtisha Steps, kwa hiyo ameibuka na mpango wa kuwazima wasanii waliomkimbia kwa kuwatoa sokoni kwa kuuza filamu zake kwa bei ambayo hakuna msambaji mwingine ataweza kuuza.
Kwanini Steps anaweza kushusha na wengine hawawezi? Kwanza kabisa ieleweke kwamba Steps ana kiwanda cha kutengeneza empty DVD's, ana kiwanda cha kudurufu nakala za filamu, ana kiwanda cha kuchapa posters na ana kiwanda cha kutengeneza makasha. Kwa ujumla wake anafanya mwenyewe kazi zake zote.
Kwa hesabu hiyo Steps ana Uwezo wa kuuza filamu zake na kupata faida hata kama ataziuza shilingi 700 kwa bei ya jumla. Hii ndio sababu ya vilio vya wasanii na kupaza sauti.
Ukiliangalia hili suala juu juu tu unaweza usione hoja, na pengine kwa sababu wanashindwa kufafanua kwa kila mtu tatizo lao na bei Mpya na Steps kama walivyonifafanulia mimi.
Binafsi, nimeelewa hoja yao na nafikiria namna ya kuwasaidia.
Ova
Mwambie huyooo

Hili ndo tatizo kubwa... hafahamu kwamba Profit is a function of Total Revenue and Total Cost! Revenue ikiwa constant na ukakata/ukapunguza gharama za uzalishaji, profit inaongezeka... likewise, cost ikiwa constant na mapato yakaongezeka, profit pia hupanda. Mapato yanaongezeka ama kwa kuongeza bei au kuongeza mauzo... always it's bad idea kuongeza mapato kwa kuongeza bei especially kama kuna close substitutes... na haya ma-DSTv, Zuku, Startimes & Co, ni close substitutes coz' kote huko kuna movie za kibongo; so the best way to increase revenues is through increasing sales... mauzo yanaongezeka kwa ku-cut down price huku ukiongeza unit production! Mambo kama haya Zamaradi hawezi kuyaelewa kwahiyo tusimlaumu...
Lakini tukija kwa upande mwingine, Zamaradi na wenzake wana kila sababu ya kulalamika! Unaposhusha bei kuna two direct effects, mosi ni hiyo ya kujiongezea mauzo but second, ni ku-cut down competition! Si kweli hata kidogo kwamba watakaoathirika na pirates coz' hawa wezi wa kazi za wasanii hawanaa production costs kubwa... all they need to have is just PC a with multiple burners, Disk Printer, a bunch of low quality empty CDs ambazo huuzwa sh. 100/- and cartridges... that's it... kwahiyo hawa hata wakiuza kwa sh. 500/- bado hawapati hasara coz' they don't have movie production cost ambayo akina Zamaradi wanayo! Jibu sahihi ni kwa akina Zamaradi nao kuongeza mauzo through price cut kama walivyofanya Steps lakini suala la kuongeza mauzo nalo is directly related to your distribution channels... hili la distribution channels ndilo litakalokutofautisha wewe na mtu kama Bakhresa endapo leo utaamua kuanzisha a milling business manake unaweza kujikuta unashindwa kusambaza even within Kinondoni wakati mwenzako anafika hadi Kanyigo!
Na labda kingine wasichokijua au wasichotaka kukijua ni kwamba hao Steps wana haki ya kuuza kazi zao hata kwa sh. 500/- na usiwafanye chochote!! Jana nilimsikia mmoja wao akisema kwamba serikali inatakiwa kupanga bei kama inavyofanya kwenye mafuta... hapa tena hawafahamu kwamba inachofanya serikali kwenye mafuta ni kuweka ceiling price... kwamba mathalani, ceiling price ya petrol ni sh. 2000/- kwa maana kwamba mtu haruhusiwi kuuza zaidi ya 2000/- lakini anaweza kuuza hata kwa sh. 1000/- kwa lita... labda alitaka kumaanisha price floor kama ile ya wakulima!!!!!
Kumbe hajamzui mtu kuuza mwenyewe hahahahah sion tatizo lake yeye anataka kupata faida. Mfano bakhresa akishusha bei ya unga mtalalamika? Kwan mwanzo sinema za kibongo zilikiwa zinauzwa shilling ngapi maana hata cjawah kununua. Kwa upande wa solution n kwamba wao waliojitoa kwa steps wajikite ktk kutengeneza movie zenye viwango na hata wauze 10000 kila moja na co kilalamika mfano kwa waliosafir safar za zenj wanaelewa bei ya boat za kilimanjaro n 23000 wakat wengine(ajar njenje) had 16000. Na watu bado wanagombea usafir wa kilimanjaro wa 23000. Steps hajawakataza kuama kwake, kuuza wenyewe, na hata kumgomea kumpekelea kazi zao. Waache uvivu wa kufikir