Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Mke wa mtu pia anatogonzwa wanaume wanajisahau akishaoa anajua game over, uwiii mambo yamebadilika
Kiukweli ndoa za zamani zilidumu kwasababu mama zetu walijikaza sana kuhakikisha hawatengani
Ila karne hii ili mahusiano yadumu unahitaji pande zote mbili zijitoe haswaa, huo ndio ukweli

Ila wanaume bado utawasikia wanawake wa siku hizi si wavumilivu, khee umeshasema wa siku hizi cope with it

Kama mwanaume hayupo tayari kutulia aisee bora asioe tu
 
Wanasahau it takes 2 to tangle.... na siku hizi watu wana ndoto kibao mtu akiona unamdrain tupa kule..... ndoa sio baba wala mama ya mtu
 
Daaa jamaa jembe sana..
Zama bado yuko clouds, still anafanya kazi kwa bosi aliyekaa nae kwa zaidi ya miaka mitano na kuzaa watoto wawili..
Naanzaje kuamini kwamba papuchi ya wife haitaendelea kuliwa kila inapohitajika na x wake..
Bosi anaujua uvungu wa mkeo kuliko wewe..
Bosi wa mkeo anajua staili zote za mkeo za kukojozwa.. Daaa jamaa ana moyo sana..
Unless amuachishe kazi hapo amfungulie biashara..
Ila kama zama anaendelea kufanya kazi mawingu binafsi hainiingii akilini hata chembe..
All in all mungu si kitwana kondo..
Nimeangalia kwa sababu za kibinadamu zaidi
 
Okay nimekupata!
 
Baadhi ya wanaume humu mnashangaza. Au sijui hamjiamini.dunia ya sasa imebadilika eti huwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto. Kweli challenge zipo ila hao wanakuwa wanajitambua.sasa wengine mnavyowazalisha ina maana ndio furaha yenu ndio wakae tu hivyo hivyo? Dunia ya sasa imebadilika.kwanza wanawake siku hizi wanajishuhulisha. Na single mother wengi tu wanaolewa tena.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili wamezimalizia chooni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…