Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Hupaswi kujiamini sana dunia ni uwanja wa mazoezi.
 
Baelezeee tena unaweza kukuta yeye mwenyewe kashazalisha,au kashadunga mtu mimba wakaitoa au kaikimbia
 
huyo jamaa ana kazi sana
 
single mothers wana matatizo sana ukiona mwanamke kazalishwa watoto wawili kaachwa ujue ana matatizo
 
Ruge chapa mwingine atotoe viwili waendelee kukulelea vi baby hakuna namna..[emoji12]
 
dahh upande wangu ingeniuma sana kwa alichofanyiwa boss ruge na pia kutokana wadhifa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…