Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zama hongera umeamua kufanya Ibada kwa sisi waislam ndoa ni ibada.

Hapa kuna watu wamelelewa na baba wa kambo,wamesomeshwa na baba wa kambo,lkn sasa hv wanalaum Zama kuolewa sababu kazaa. Inshangaza

Siyo zambi kuowa mwanamke mwenye watoto hasa wanaume wa kule kusini alikotoka KM. Nimeishi kule mama mwenye watoto 6 anaolewa mchana kweupe na mwanaume anatunza tuu watoto hajali hata tone.

Furahia ndoa yako Ibada njema.
Sidhani kama ni vijana kama hao! Usidanganye kusini huko ni SA au tunakokufahamu wote?
 
Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Unampa hongera za kitu gani hapo?yaani kuruka ruka kwa kila mwanaume ndiyo sifa?
 
Hapo ndipo unapoelewa pesa haina ngumu endapo moyo ukitaka amani furaha na upendo wa kweliii mapenzi ya kujifichaficha,kuwekea masharti kisa mtu ana jina. MAAMUZI MAGUMU NI DAWA
 
Sidhani kama kambwaga ila yule jamaa ni chovyachovya kwahiyo bibie alikuwa ameangalia mistakabali wa maisha upoje kwani bosi ndio nini maisha bora usiwe na mali lakini uwe na amani na furaha ndani ya mtima

Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
 
Ana bahati amepata mpenda singo mama,sina hakika jamaa kama kakamilika.
Tamaa ya kutega mimba itawaponza,
Hasa nyie watoto wakike mliotokea familia maskini na izo ndoto zenu za kutajirika kupitia kuolewa na watu wenye pesa.

[emoji23][emoji23][emoji23] ujumbe Maridhawa! Chungu lakini dawa! [emoji106]
 
Daaa jamaa jembe sana..
Zama bado yuko clouds, still anafanya kazi kwa bosi aliyekaa nae kwa zaidi ya miaka mitano na kuzaa watoto wawili..
Naanzaje kuamini kwamba papuchi ya wife haitaendelea kuliwa kila inapohitajika na x wake..
Bosi anaujua uvungu wa mkeo kuliko wewe..
Bosi wa mkeo anajua staili zote za mkeo za kukojozwa.. Daaa jamaa ana moyo sana..
Unless amuachishe kazi hapo amfungulie biashara..
Ila kama zama anaendelea kufanya kazi mawingu binafsi hainiingii akilini hata chembe..
All in all mungu si kitwana kondo..
Nimeangalia kwa sababu za kibinadamu zaidi

Kweli kabisa! Yataka huyo bwana mpya awe na moyo wa Imani ! Mtalaka hatongozwi! Hivi unazani Huyo Ruge akikutana na huyo zamaradi nini kitatokea?! Ruge haihitaji kumuimbisha nyimbo tena ktk kumtongoza, Yani anabip tu Zama anapokea fasta! Mtalaka hatongozwi [emoji14][emoji14][emoji14]
 
Tatizo tunapenda kupingana na ukweli! Kijana yeyote under 40 ambaye hajawahi kuoa wala kuwa na watoto kuoa mwanamke mwenye watoto 2 na baba wa hao watoto bado yupo around na anakuzidi kipato na bado anafanya kazi na mkeo, kutegemea furaha kwenye hiyo ndoa ni uzumbukuku! Zamaradi alitakiwa aolewe na mzee mwenye watoto kadhaa tena wengine wanalingana naye umri. Hata mimi angekua dada yangu ningemuozesha ila ningetaja mahari ndogo kwa sababu najua any day nitadaiwa. Nikuulize na wewe huyo dogo angekua kaka yako ungemshauri nini? Usijibu kinafiki
Tafuta namba ya baba harusi ukumshauri basi otherwise umezidi sasa..... unajifanya kuijua nafsi ya mwanaume mwenzio as if uko ndani yake. Kama wewe huwezi kimpango wako ... simamia inferiority complex zako kwa uthabiti.
Ndio nyie mnatabiriaga watu mabaya utabiri ukibuma mnabaki kuguess watu hawana furaha. Pambana na misimamo yako wacha wenye uthubutu waoe hata mama wa6.
Watu kama nyie inabidi mwanao apigwe mimba ukae nae hapo kwako mpaka anazeeka.
 
Povu tena!! Pole single mother na wewe utapata kijana boya
 
hii ndoa imewauma manungayembe. uchawi sio kupaa usiku hata roho mbaya nayo uchawi. mwenzenu kasitirika endeleeni na zinaa. mijanaume ya kujidai fyokofyoko siipendi. utafikiri wao wanawake wao wamewakuta mabikira. Go zama. Allah awaongoze, mpendane mpaka kifo.
 
Tatizo tunapenda kupingana na ukweli! Kijana yeyote under 40 ambaye hajawahi kuoa wala kuwa na watoto kuoa mwanamke mwenye watoto 2 na baba wa hao watoto bado yupo around na anakuzidi kipato na bado anafanya kazi na mkeo, kutegemea furaha kwenye hiyo ndoa ni uzumbukuku! Zamaradi alitakiwa aolewe na mzee mwenye watoto kadhaa tena wengine wanalingana naye umri. Hata mimi angekua dada yangu ningemuozesha ila ningetaja mahari ndogo kwa sababu najua any day nitadaiwa. Nikuulize na wewe huyo dogo angekua kaka yako ungemshauri nini? Usijibu kinafiki
Mimi nitaangalia huyo dada anatabia ya aina gani maana wanawake huachwa kwa sababu tofauti....yaweza kuwa yeye anatabia mbaya na kashindikana ama ni mtu mzuri ila amekutana na mtu kilaza ndio maana ameamua kufanya yake.

Sasa katika hali ya kawaida, kama mwanamke yuko poa kitabia sioni shida akiolewa na ndugu yangu maana najua atakuwa na furaha.

Na kama wewe una hayo mawazo ya kwamba mwanamke ni kama gari kuwa unachagua used au mpya kabisa jua unakosea. Kama ukikutana na mwanamke anayejitambua na ni mstaarabu kitabia na kimwenendo, usije ukaona ni kosa kuwa naye hata kama ana watoto wawili.

Hauoi mwanamke sababu ya mashindano ya miss world mind you. Unaoa a life companion, unaoa rafiki, mtu atakaye kuwa na weww benet na kukupa msaada ya mawazo na kukupa ahuweni katika kipigo cha maisha unachopata daily.

Hizo itikadi za kuopoa mwanamke mwenye tako kubwa, bikira, sijui muonekano wa kimiss sijui mbwembwe gani waachie mabwana wadogo wanaopevuka maana by the way hayo ni matamanio ya kingono na kimwili ndio yanaendesha hisia zako.

Unaweza pata huyo bikira wako ila akaja kukupa stress humo ndani hadi ukashindwa kufurahia hayo mahusiano ila huyo mwenye watoto wa wawili akaitambua nafasi yake na akakupa mahaba na upendo ukasahau stress za dunia na ukaanza kunawiri na kupendeza sababu ya upendo unaopewa.....

So dont judge my brother.....let life be
 
Back
Top Bottom