Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kwani shida iko wapi? Watoto wala hata walea yeye baba yao Ruge yupo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Daah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
Akufatitilie nani wewe usiejulikana, waache wajulikanao wafatiliwe
 
Kweli kina dada jizalieni tu nyumbani ndoa zipo mwaya......
Hongera sana Zamaradi, Hongera Shemeji mpya.... mdumu katika ndoa msisikilize wambea.
 
Tafuta namba ya baba harusi ukumshauri basi otherwise umezidi sasa..... unajifanya kuijua nafsi ya mwanaume mwenzio as if uko ndani yake. Kama wewe huwezi kimpango wako ... simamia inferiority complex zako kwa uthabiti.
Ndio nyie mnatabiriaga watu mabaya utabiri ukibuma mnabaki kuguess watu hawana furaha. Pambana na misimamo yako wacha wenye uthubutu waoe hata mama wa6.
Watu kama nyie inabidi mwanao apigwe mimba ukae nae hapo kwako mpaka anazeeka.
Itakua anamuonea wivu Zamaradi may be alitaka aolewe yeye ambae bado hajazaa.... hahahahahaha mie simooooooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kweli kabisa! Yataka huyo bwana mpya awe na moyo wa Imani ! Mtalaka hatongozwi! Hivi unazani Huyo Ruge akikutana na huyo zamaradi nini kitatokea?! Ruge haihitaji kumuimbisha nyimbo tena ktk kumtongoza, Yani anabip tu Zama anapokea fasta! Mtalaka hatongozwi [emoji14][emoji14][emoji14]
Mmh siyo kweli, not as easy as u think
 
Ana bahati amepata mpenda singo mama,sina hakika jamaa kama kakamilika.
Tamaa ya kutega mimba itawaponza,
Hasa nyie watoto wakike mliotokea familia maskini na izo ndoto zenu za kutajirika kupitia kuolewa na watu wenye pesa.
Mkuu umesukuma jiwe..[emoji106] [emoji106]
 
Itakua anamuonea wivu Zamaradi may be alitaka aolewe yeye ambae bado hajazaa.... hahahahahaha mie simooooooooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Anachefua.... toka ameanza kumkomalia dada wa watu as if yeye ndo muoaji... watu wengine bure kabisa, kulazimisha misimamo yao kwenye maisha ya wasiowahusu.
 
Povu tena!! Pole single mother na wewe utapata kijana boya
Kameze wembe kama imekuuma, kwa taarifa tu sio single mother na nipo mbioni kuolewa na baba wa mtoto wangu.
Sio lazima kitu kinitokee Mimi ndo nihusike, boya uliyetukuka ni wewe kujifanya unajua hisia za mwanaume mwenzio.... yatakushinda mzee mzima. Na siku wanao watazalishwa au wataoa maajuza ndo utaelewa.
Mtu wa hovyo hovyo sana wewe kulazimisha mawazo yako yawe ndio reference standard.
Mtcheeeeew ndo kashaoa sasa na ndoa itadumu kwa upendo na furaha kaanzishe uconsellor kwa ndugu zako wa kike na wakiume.... mtcheeeeeeeeew sand brain
 
Anachefua.... toka ameanza kumkomalia dada wa watu as if yeye ndo muoaji... watu wengine bure kabisa, kulazimisha misimamo yao kwenye maisha ya wasiowahusu.
omeona ee ndugu? yan kuna watu wana roho chafu ka dustbins za leba. mxuuuuu kuoa aoe mwingine jasho la kwapa limtoke mwingine. na mijanaume ya hivi huwaga INA sura mbaya, inanuka kwapa na michafuchafu. yenyewe ni micngo baba
 
Kameze wembe kama imekuuma, kwa taarifa tu sio single mother na nipo mbioni kuolewa na baba wa mtoto wangu.
Sio lazima kitu kinitokee Mimi ndo nihusike, boya uliyetukuka ni wewe kujifanya unajua hisia za mwanaume mwenzio.... yatakushinda mzee mzima. Na siku wanao watazalishwa au wataoa maajuza ndo utaelewa.
Mtu wa hovyo hovyo sana wewe kulazimisha mawazo yako yawe ndio reference standard.
Mtcheeeeew ndo kashaoa sasa na ndoa itadumu kwa upendo na furaha kaanzishe uconsellor kwa ndugu zako wa kike na wakiume.... mtcheeeeeeeeew sand brain
Kumbe kweli ha ha ha nafaa kuwa mganga wa kienyeji! Hongera kwa ndoa na wewe mbona umekomaa na baba mtoto na si mtu mwingine? Ukweli mchungu
 
Kazi sana ila mi bora nirudi kuoa ka form four kalikomaliza kuliko single mother naomba niepushwe na hilo

Ila hao nao huwa na changamoto zao, wanahamaki Kwa haraka Yani hadi AKILI ije iwakae ni baada ya miaka kupita! Lakini hawa akina zamaradi walio zaa huwa ni wasikivu Kwa kuwa wameumwa na Nyoka unaweza ukakuta wengine hutulia kabisa Kwenye ndoa!
 
Ni bahati sana ukipata single mother mtulivu na msikivu wengi huwa hivyo mwanzo baadae kidogo kila atakachofanya ni kwa ajili ya "mwanae na we wako uwatafutie baba wa mtoto yule mwingine huwa rafiki bora zaidi kuliko wewe labda awe kafariki bora hivi vinavyokuwa vinadhibitika kuliko single mother
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo

Mwanamme naye ana mtoto mmoja tatizo lipo wapi?. Halijakukita. Mfano wewe umeoa. Mara paap mke kafariki kakuachia watoto. Ina maana huyaoa
 
Back
Top Bottom