Sidhani kama ni vijana kama hao! Usidanganye kusini huko ni SA au tunakokufahamu wote?Zama hongera umeamua kufanya Ibada kwa sisi waislam ndoa ni ibada.
Hapa kuna watu wamelelewa na baba wa kambo,wamesomeshwa na baba wa kambo,lkn sasa hv wanalaum Zama kuolewa sababu kazaa. Inshangaza
Siyo zambi kuowa mwanamke mwenye watoto hasa wanaume wa kule kusini alikotoka KM. Nimeishi kule mama mwenye watoto 6 anaolewa mchana kweupe na mwanaume anatunza tuu watoto hajali hata tone.
Furahia ndoa yako Ibada njema.
Unampa hongera za kitu gani hapo?yaani kuruka ruka kwa kila mwanaume ndiyo sifa?Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Anasahau kwamba hao ni watu maarufu hivyo kufuatiliwa ni jambo la kawaida ambalo hata USA lipo.Nenda jukwaa la kilimo na biashara kuna fursa nyingi za Maendeleo.
Siku hizi siyo lumumba mwenzio kahama baada ya wavamizi wasiyo julikana kuvamia kituo chake cha kaziKwani huyo jamaa hapo sio kamanda Ruge?
Ana bahati amepata mpenda singo mama,sina hakika jamaa kama kakamilika.
Tamaa ya kutega mimba itawaponza,
Hasa nyie watoto wakike mliotokea familia maskini na izo ndoto zenu za kutajirika kupitia kuolewa na watu wenye pesa.
Daaa jamaa jembe sana..
Zama bado yuko clouds, still anafanya kazi kwa bosi aliyekaa nae kwa zaidi ya miaka mitano na kuzaa watoto wawili..
Naanzaje kuamini kwamba papuchi ya wife haitaendelea kuliwa kila inapohitajika na x wake..
Bosi anaujua uvungu wa mkeo kuliko wewe..
Bosi wa mkeo anajua staili zote za mkeo za kukojozwa.. Daaa jamaa ana moyo sana..
Unless amuachishe kazi hapo amfungulie biashara..
Ila kama zama anaendelea kufanya kazi mawingu binafsi hainiingii akilini hata chembe..
All in all mungu si kitwana kondo..
Nimeangalia kwa sababu za kibinadamu zaidi
Tafuta namba ya baba harusi ukumshauri basi otherwise umezidi sasa..... unajifanya kuijua nafsi ya mwanaume mwenzio as if uko ndani yake. Kama wewe huwezi kimpango wako ... simamia inferiority complex zako kwa uthabiti.Tatizo tunapenda kupingana na ukweli! Kijana yeyote under 40 ambaye hajawahi kuoa wala kuwa na watoto kuoa mwanamke mwenye watoto 2 na baba wa hao watoto bado yupo around na anakuzidi kipato na bado anafanya kazi na mkeo, kutegemea furaha kwenye hiyo ndoa ni uzumbukuku! Zamaradi alitakiwa aolewe na mzee mwenye watoto kadhaa tena wengine wanalingana naye umri. Hata mimi angekua dada yangu ningemuozesha ila ningetaja mahari ndogo kwa sababu najua any day nitadaiwa. Nikuulize na wewe huyo dogo angekua kaka yako ungemshauri nini? Usijibu kinafiki
Povu tena!! Pole single mother na wewe utapata kijana boyaTafuta namba ya baba harusi ukumshauri basi otherwise umezidi sasa..... unajifanya kuijua nafsi ya mwanaume mwenzio as if uko ndani yake. Kama wewe huwezi kimpango wako ... simamia inferiority complex zako kwa uthabiti.
Ndio nyie mnatabiriaga watu mabaya utabiri ukibuma mnabaki kuguess watu hawana furaha. Pambana na misimamo yako wacha wenye uthubutu waoe hata mama wa6.
Watu kama nyie inabidi mwanao apigwe mimba ukae nae hapo kwako mpaka anazeeka.
Mimi nitaangalia huyo dada anatabia ya aina gani maana wanawake huachwa kwa sababu tofauti....yaweza kuwa yeye anatabia mbaya na kashindikana ama ni mtu mzuri ila amekutana na mtu kilaza ndio maana ameamua kufanya yake.Tatizo tunapenda kupingana na ukweli! Kijana yeyote under 40 ambaye hajawahi kuoa wala kuwa na watoto kuoa mwanamke mwenye watoto 2 na baba wa hao watoto bado yupo around na anakuzidi kipato na bado anafanya kazi na mkeo, kutegemea furaha kwenye hiyo ndoa ni uzumbukuku! Zamaradi alitakiwa aolewe na mzee mwenye watoto kadhaa tena wengine wanalingana naye umri. Hata mimi angekua dada yangu ningemuozesha ila ningetaja mahari ndogo kwa sababu najua any day nitadaiwa. Nikuulize na wewe huyo dogo angekua kaka yako ungemshauri nini? Usijibu kinafiki
TrueWanaume huwa tunajidanganya sana!
Huyo unayedhani ni wewe wa kwanza kumzalisha keshazalia chooni Mara 3+