Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

mimi ningedai leo leo
Hiyo story kama ni kweli hapo mjinga ni mwanamke sio mwanaume.... mwanaume kaona fursa mwanamke kapapatikia ndoa... na kuna post yake moja alihubiri sana kwamba yeye hakurupuki anamchunguza mtu kwanza... inabidi aishi maneno yake.
Mtu kama unapenda ndoa anza kujiandaa since kijana wako.... kustuka umri umeenda ndo kuanza kudandia anybody mradi kuonekana.
 
roho imeniuma ningekuwa mimi zama namuacha jamaa mazima leo leo ishakuwa mbaya aha iwe mbaya.wanaume wangese sana
yaani hakuna kitu inauma kama mwanamke ugundue umetumika!!!kama ni kweli bashite anahusika zama atalia kilio cha mbwa mdomo juu
 
Sidhani kama ni vijana kama hao! Usidanganye kusini huko ni SA au tunakokufahamu wote?

Nimekaa Mtwara na nimetembea wilaya za huko nilishangaa mama mwenyewe watoto sita akiolewa. Nimetoa tuu Yale ninayoyajua
 
yaaani nimeumia utadhani mimi zamaradi
Yote aliyoandika soudy ni uongo na kashafuta post zote, jamaa sio fala kiivo ana maisha yake na pesa yake, walikutana na zama kwenye harakati za biashara china na dubai.
 
Yote aliyoandika soudy ni uongo na kashafuta post zote, jamaa sio fala kiivo ana maisha yake na pesa yake, walikutana na zama kwenye harakati za biashara china na dubai.
sidhani kama wanaweza kuandika uongo vile wale jamaa ni wambea ila wanasema ukweli bna
 
Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Yeye ndio alishabwagwa kimyakimya kitambo tu.. alichokifanya ni baada ya kukata tamaa kwamba Ruge hana mpango wa ku-settle kabisa mahusiano yao.
 
Tatizo tunapenda kupingana na ukweli! Kijana yeyote under 40 ambaye hajawahi kuoa wala kuwa na watoto kuoa mwanamke mwenye watoto 2 na baba wa hao watoto bado yupo around na anakuzidi kipato na bado anafanya kazi na mkeo, kutegemea furaha kwenye hiyo ndoa ni uzumbukuku! Zamaradi alitakiwa aolewe na mzee mwenye watoto kadhaa tena wengine wanalingana naye umri. Hata mimi angekua dada yangu ningemuozesha ila ningetaja mahari ndogo kwa sababu najua any day nitadaiwa. Nikuulize na wewe huyo dogo angekua kaka yako ungemshauri nini? Usijibu kinafiki
Wabongo kwa nuksi..mbna Klyn na Machache hamuwachi kuwasema...eti oh kafata pesa tu pale kaolewa na babaake sijui nini..mwacheni
 
Wabongo kwa nuksi..mbna Klyn na Machache hamuwachi kuwasema...eti oh kafata pesa tu pale kaolewa na babaake sijui nini..mwacheni
K lyn aliolewa akiwa na watoto 2 wa mwanaume mwingine?
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Lazima apigiwe tu
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Hahah jamaa amekosea sana aisee...
 
bora alivyofanya aisee, hawa watu wenye pesa, mara nyingi pesa huwa ni zao wenyewe tu au na marafiki, mke na watoto aah msahau kabisa atafanya kuleta chakula tu. sasa kama na mama anafanya kazi ndo kabisa hata hela ya chakula huioni.

utaishia kuishi kwenye nyumba nzuri tu, ila cha moto utakiona
 
Back
Top Bottom