LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
We umesema ishu ya umri... Msilazimishe maneno yenu kuwa sheriaK lyn aliolewa akiwa na watoto 2 wa mwanaume mwingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umesema ishu ya umri... Msilazimishe maneno yenu kuwa sheriaK lyn aliolewa akiwa na watoto 2 wa mwanaume mwingine?
Huyo jamaa atatombewa na Ruge Mpaka basi yani.Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kwa waislamu hilo ni jambo la kawaida ndomaana watu hua wanaoa hata mwanamke alieachika lakini kwa wakristo hilo ni tatizo kubwa sana wengi wetu hatujafundishwa ustamihilivu wa kuishi na watu, unawesa oa mwqnamke wa kiislamu ukamwambia nina mtoto/watoto na akakubali na akamlea huyo mtoto kama wa kwake wa kumzaaIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Una akili halisi ya kiume,Daah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
amekwambia anataka fursaNenda jukwaa la kilimo na biashara kuna fursa nyingi za Maendeleo.
huyu anaekusuta muulize anamjua mwenye kiti alichokikalia yeye... si amekikuta kunamtu amekikalia kamaliza yake katoka ndo emekaa yeye na ajiulize kiti alichokiacha anajua aliyekikalia?Daah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
HahahaaHahahaa, nimeona umemimina oksifodi dikshenari hapo kiongoziUna akili halisi ya kiume,
Pure mans thinking cpcty,
Nimefurahi ulilosema hadi nimeongea kizungu
Dah kiongozi wangu, hii ndo Tanzania ya vi-wonderhuyu anaekusuta muulize anamjua mwenye kiti alichokikalia yeye... si amekikuta kunamtu amekikalia kamaliza yake katoka ndo emekaa yeye na ajiulize kiti alichokiacha anajua aliyekikalia?
Ebwana acha utaniua hahahaKwani huyo jamaa hapo sio kamanda Ruge?
Kwa hyo hao nao wanaenda Honey moon.. Kufanya nn kupoteza hela, mtu katotoleshwa watoto wawili, mzee Ruge alikua anajilia miaka mi 5,,na bdo kuna mbwiga anaipeleka honey moon..
Kuna watu wana roho ngumu.
Kwahiyo hao wamama 10 aliozalisha wakae tu wazeeke bila mahusiano just because wamezalishwa na gume gume moja.
Maisha ni kuishi na kuchagua, kama wewe priority yako ni mtu hajazaa usizalishe na usiwatoleshe mimba watoto wa watu....
Waache wenye vigezo vyao wanaoona mama mwenye mtoto/watoto sio kitu kikubwa kwao.
kwani kuna tatizo gani wanawake waliotoa mimba wako wengi tu ukimuoa unahesabia ni mbichiIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Unafananisha marehemu na mzima? Umeshawahi kuzaa na mtu watoto 2 na kuwa naye karibu more than 3 years? Kama majibu ni ndio umenielewakwani kuna tatizo gani wanawake waliotoa mimba wako wengi tu ukimuoa unahesabia ni mbichi