Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ule ndo ukweli hawasemagi uongo wale jamaniShilaShilawadu hawaishiwi maneno..ila muda utaongea.
Kama kuna chembechembe za ukweli in the long run atajutia sana and kudai talaka itakua mtihani kila mtu macho kwake.yaaani nimeumia utadhani mimi zamaradi
mimi ningedai leo leoKama kuna chembechembe za ukweli in the long run atajutia sana and kudai talaka itakua mtihani kila mtu macho kwake.
Hiyo story kama ni kweli hapo mjinga ni mwanamke sio mwanaume.... mwanaume kaona fursa mwanamke kapapatikia ndoa... na kuna post yake moja alihubiri sana kwamba yeye hakurupuki anamchunguza mtu kwanza... inabidi aishi maneno yake.mimi ningedai leo leo
yaani hakuna kitu inauma kama mwanamke ugundue umetumika!!!kama ni kweli bashite anahusika zama atalia kilio cha mbwa mdomo juuroho imeniuma ningekuwa mimi zama namuacha jamaa mazima leo leo ishakuwa mbaya aha iwe mbaya.wanaume wangese sana
single mothers wana matatizo sana ukiona mwanamke kazalishwa watoto wawili kaachwa ujue ana matatizo
Sidhani kama ni vijana kama hao! Usidanganye kusini huko ni SA au tunakokufahamu wote?
Yote aliyoandika soudy ni uongo na kashafuta post zote, jamaa sio fala kiivo ana maisha yake na pesa yake, walikutana na zama kwenye harakati za biashara china na dubai.yaaani nimeumia utadhani mimi zamaradi
itakuwa kahusika bwana unataka kusema ni uongo?yaani hakuna kitu inauma kama mwanamke ugundue umetumika!!!kama ni kweli bashite anahusika zama atalia kilio cha mbwa mdomo juu
Duuuhhh ,,, ivi unadhan , hio ninjia ya kumkomoa ??????? Embu acha zako bana.kaolewa na houseboy bashite alitoa hela ili kumkomoa ruge
sidhani kama wanaweza kuandika uongo vile wale jamaa ni wambea ila wanasema ukweli bnaYote aliyoandika soudy ni uongo na kashafuta post zote, jamaa sio fala kiivo ana maisha yake na pesa yake, walikutana na zama kwenye harakati za biashara china na dubai.
Yeye ndio alishabwagwa kimyakimya kitambo tu.. alichokifanya ni baada ya kukata tamaa kwamba Ruge hana mpango wa ku-settle kabisa mahusiano yao.Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Wabongo kwa nuksi..mbna Klyn na Machache hamuwachi kuwasema...eti oh kafata pesa tu pale kaolewa na babaake sijui nini..mwacheniTatizo tunapenda kupingana na ukweli! Kijana yeyote under 40 ambaye hajawahi kuoa wala kuwa na watoto kuoa mwanamke mwenye watoto 2 na baba wa hao watoto bado yupo around na anakuzidi kipato na bado anafanya kazi na mkeo, kutegemea furaha kwenye hiyo ndoa ni uzumbukuku! Zamaradi alitakiwa aolewe na mzee mwenye watoto kadhaa tena wengine wanalingana naye umri. Hata mimi angekua dada yangu ningemuozesha ila ningetaja mahari ndogo kwa sababu najua any day nitadaiwa. Nikuulize na wewe huyo dogo angekua kaka yako ungemshauri nini? Usijibu kinafiki
K lyn aliolewa akiwa na watoto 2 wa mwanaume mwingine?Wabongo kwa nuksi..mbna Klyn na Machache hamuwachi kuwasema...eti oh kafata pesa tu pale kaolewa na babaake sijui nini..mwacheni
Lazima apigiwe tuIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Hahah jamaa amekosea sana aisee...Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo