Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Huyo jamaa atatombewa na Ruge Mpaka basi yani.
Yaani Zamaradi atakuwa anawapeleka watoto kumuona Baba yao.
Pigwa sana Lungu.
Huyo jamaa ni boya wa kiwango cha Mwendo kasi
 
Unaoa mwanamke mwenye watoto 2.
Huyo bwana yupo hai tena rijali.
Tegemea kugongewa.
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kwa waislamu hilo ni jambo la kawaida ndomaana watu hua wanaoa hata mwanamke alieachika lakini kwa wakristo hilo ni tatizo kubwa sana wengi wetu hatujafundishwa ustamihilivu wa kuishi na watu, unawesa oa mwqnamke wa kiislamu ukamwambia nina mtoto/watoto na akakubali na akamlea huyo mtoto kama wa kwake wa kumzaa
 
Mbona mwanaume anaficha sura?
Je, anaogopa watu wasiojulikana,au yeye ni mmoja wao?
 
ama kweli wanawake wazuri wanaolewa wanabaki ,MANUNGA YE.MBE yanasangalia mjini,HONGERA Zama
 
hahahahahahaha,kajilipua jamaa,Zama kasubiri NDOA kwa Scofield ili akimbize mjini hola,kaona bora apambane na hali yake,Safi sana Zama,mtu unamzalia watoto wawili lkn bado...
 
Daah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
Una akili halisi ya kiume,
Pure mans thinking cpcty,
Nimefurahi ulilosema hadi nimeongea kizungu
 
Daah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
huyu anaekusuta muulize anamjua mwenye kiti alichokikalia yeye... si amekikuta kunamtu amekikalia kamaliza yake katoka ndo emekaa yeye na ajiulize kiti alichokiacha anajua aliyekikalia?
 
huyu anaekusuta muulize anamjua mwenye kiti alichokikalia yeye... si amekikuta kunamtu amekikalia kamaliza yake katoka ndo emekaa yeye na ajiulize kiti alichokiacha anajua aliyekikalia?
Dah kiongozi wangu, hii ndo Tanzania ya vi-wonder
 
Kwa hyo hao nao wanaenda Honey moon.. Kufanya nn kupoteza hela, mtu katotoleshwa watoto wawili, mzee Ruge alikua anajilia miaka mi 5,,na bdo kuna mbwiga anaipeleka honey moon..
Kuna watu wana roho ngumu.

Sio siri
 
Mamaaaa nimetokea kupenda ujasiri wako. hakika anayekuoa kapata jembe
ila neno moja tu la ushauri, acha kibishane na watu walioufukuzwa kwa vyeti feki.. Magu mwenyewe kawabwaga sembuse wewe hahahahahaa acha nao hao.
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
kwani kuna tatizo gani wanawake waliotoa mimba wako wengi tu ukimuoa unahesabia ni mbichi
 
kwani kuna tatizo gani wanawake waliotoa mimba wako wengi tu ukimuoa unahesabia ni mbichi
Unafananisha marehemu na mzima? Umeshawahi kuzaa na mtu watoto 2 na kuwa naye karibu more than 3 years? Kama majibu ni ndio umenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…