Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
cha unyanyapaa papuche ni papucheUnafananisha marehemu na mzima? Umeshawahi kuzaa na mtu watoto 2 na kuwa naye karibu more than 3 years? Kama majibu ni ndio umenielewa
Ndoa sio papuchi tu mkuu! Amani kitu muhimu sana unakuta mtu 24/7 unafuatilia nyendo za wife kwa kutojiamini hata mtoto akiumwa hauamini baba mtoto akiwa anafuatilia afya ya mtoto, Trust me hicho kipengele ndio huwa kinaumiza aka family reunionwa
cha unyanyapaa papuche ni papuche
Tatizo vijaja wanapenda Kitonga...Full kutekleza na ganda la ndizi.Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Muoaji mwenyewe inasemekana nae ana watoto wawili, tena wa kwake wakubwa kupita wa Zama. Hivyo yeye ndio ingependeza angeoa wakati ana watotoIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kazaa nae watoto wawili wakati akijua dini tofauri. Nampenda Zama lakini kuna jambo kubwa litamtomtokea huyu dada kwa hiki alichofanya. ni bora angekaa akalea watoto wake wawili angalau wakue kwanza. sema kifo unakifuata mwenyewe hata ukatazwe vipi. Huyu dada alinyanyasa sana wenzie Clouds wakati mapenzi yapo hot na Boss Ruge, mpaka wengine kuachishwa kazi sababu yake. Naona mungu ameamua kumuonyesha na yeye kupitia kwa huyu mume mpya. Lazima na yeye ataisoma namba kama alivyowasomesha wenzie. tusubiri tuoneRuge Ndio Ana status but hamna cha maana alikua anapata,hakua muowaji anazaa kila mahali Huku anazaa na zama alikua anazaa kwengine pia dini pia ilikua kikwazo kwao ... so hapo Kati zama alishaanza kuchoka so ruge alikua analea tu wanae Ndio kupata mwanaume mwingine Tena anajiweza unakataaje tena wa Imani yako sio rahisi
Yesu ngerudi au ANGEFUFUKA. Kwani Yesu kafa?yule bosi ni mali ya umma angesubiri ndoa hadi yesu angefufuka....
Yale ya fisi kusubiri mkono wa mtu udondoke ale.Kazaa nae watoto wawili wakati akijua dini tofauri. Nampenda Zama lakini kuna jambo kubwa litamtomtokea huyu dada kwa hiki alichofanya. ni bora angekaa akalea watoto wake wawili angalau wakue kwanza. sema kifo unakifuata mwenyewe hata ukatazwe vipi. Huyu dada alinyanyasa sana wenzie Clouds wakati mapenzi yapo hot na Boss Ruge, mpaka wengine kuachishwa kazi sababu yake. Naona mungu ameamua kumuonyesha na yeye kupitia kwa huyu mume mpya. Lazima na yeye ataisoma namba kama alivyowasomesha wenzie. tusubiri tuone
SHILAWADU!wewe hili jukwaa halikufai
Mwacheni Zamaradi, kafiwa baba watoto wake.... Duh! Hii kali sana!
Acha hizoooIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo