kobokocastory
JF-Expert Member
- Aug 30, 2014
- 1,076
- 1,270
Nimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.Ruge ana status gani ya ajabu.... we unamjua uyo aliyemuoa ni nani?
Watu hawapagaw na publicity... wanaangalia numbers
Na baba watoto wapo ofisi moja haihitaji kuwa mganga wa kienyeji kujua itakua ndoa ya aina ganiTena mwanamke alikua amewekwa ndani zaidi ya miaka mitano, kweli tuko tofauti sana.
Hongera, keep your illusion aliveNenda jukwaa la kilimo na biashara kuna fursa nyingi za Maendeleo.
Na baba watoto wapo ofisi moja haihitaji kuwa mganga wa kienyeji kujua itakua ndoa ya aina gani
Na ni boss wake, akileta fyokofyoko kazi hanaNa baba watoto wapo ofisi moja haihitaji kuwa mganga wa kienyeji kujua itakua ndoa ya aina gani
Teh teh teh teh!! Wabongo mnamajibu ya kunya, acha Magufuli abaki na magazeti ya chamaNenda jukwaa la kilimo na biashara kuna fursa nyingi za Maendeleo.
Kwan ruge alikua na shida gani,Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Congrats, i saw it comingwewe hili jukwaa halikufai
Hata mimi bado nipo nusu nusu, naona kama kiki ya kipindiHivi ni Mimi tu nnayeamini hii ni movie?
Soma uelewe hakuwa na shida inaonekana hana mpango wa ndoa anazalisha tuKwan ruge alikua na shida gani,
I wonder which sex orientation is yours..umerahisishiwa na JF kuna platform nyingi hujaziona za kilimo, biashara? ur in wrong position ndugu
Ungekua zamaradi ungefanya ivo, ??Soma uelewe hakuwa na shida inaonekana hana mpango wa ndoa anazalisha tu
Ni rahisi kuwa baba mzazi ila kuwa baba ni kazi....Nimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.