Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakuaUnaoa zilipendwa! Kweli dogo ana roho ngumu! Au demu kafanya hivi kumkomoa mshikaji?
nimejikausha imenibidi nicheke tu,lakini pia binafsi nahisi hiyo lazima ni bongo movie maana kama haitokuwa movie taamini ule msemo wa THE POSSIBLE IMPOSSIBLE!
Bado nakupenda...!Kajinyonge ukufee.
Mkuu ni mtoto wa ndugu wa Majaliwa. Kabisaaa kwa miaka yote ya kuishi na kuzaa watoto wawili haoneshi muelekeo bora aangalie upande mwingine.Anaolewa na mtoto wa waziri mkuu Majaliwa,amesema inatosha bac,nampongeza sana,ukiona hapaeleweki just move on
yule bosi ni mali ya umma angesubiri ndoa hadi yesu angefufuka....Hongera zake
Maana hapo angeishia kujaza dunia na kupambana na ma-baby mamas wenzake
Hongera sana
Nimecheka kwa sauti...safi sana hii Ruge aichukuwe itamsaidiayule bosi ni mali ya umma angesubiri ndoa hadi yesu angefufuka....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisaaa mwanaume anatotolesha kama incubatoryule bosi ni mali ya umma angesubiri ndoa hadi yesu angefufuka....
Unaelewa maana ya ubaguzi? Nimetaja vitu 3, Umri, idadi ya watoto na ukaribu wa mzazi mwenza! Na kuna watu wameongeza kwamba Zamarad ameolewa sababu Ruge hamuoi na sio kwa sababu mapenzi yameisha! Kama ndoa ni mtonyo na kupendana tu naungana na wewe! Nimeishi muda ulioniwezesha kuona mambo mengi ikiwemo watu wanaooa wanawake wenye watoto zaid ya 1 na baba yupo hai kwa kijana kama huyo hatoufurahia ujana wake, ndoa za hivyo wanaziweza watu ambao tayar walishaoa na wao wana watoto au wazeeAcha ubaguzi wewe! Shida iko wapi kama wamependana na mtonyo upo!
yesu angefufuka mara ya ngapi tena mkuu,kweli umepagawa!yule bosi ni mali ya umma angesubiri ndoa hadi yesu angefufuka....
Ha ha zipo za kununuaWatu wengi hawajui maana ya kufunika uso.
Maana yake ni kuwa mwanamke ni bikra, maana yake ni utando, kwamba mwanaume anaenda kuukata ule utando. Kumfunua uso maana yake anafungua bikra.
Anafungua njia.
Je huyo bi harusi ni Bikra???