Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Acha ubaguzi wewe! Shida iko wapi kama wamependana na mtonyo upo!
Unaelewa maana ya ubaguzi? Nimetaja vitu 3, Umri, idadi ya watoto na ukaribu wa mzazi mwenza! Na kuna watu wameongeza kwamba Zamarad ameolewa sababu Ruge hamuoi na sio kwa sababu mapenzi yameisha! Kama ndoa ni mtonyo na kupendana tu naungana na wewe! Nimeishi muda ulioniwezesha kuona mambo mengi ikiwemo watu wanaooa wanawake wenye watoto zaid ya 1 na baba yupo hai kwa kijana kama huyo hatoufurahia ujana wake, ndoa za hivyo wanaziweza watu ambao tayar walishaoa na wao wana watoto au wazee
 
Watu wengi hawajui maana ya kufunika uso.
Maana yake ni kuwa mwanamke ni bikra, maana yake ni utando, kwamba mwanaume anaenda kuukata ule utando. Kumfunua uso maana yake anafungua bikra.
Anafungua njia.
Je huyo bi harusi ni Bikra???
Ha ha zipo za kununua
 
Back
Top Bottom