Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Ruge ana status gani ya ajabu.... we unamjua uyo aliyemuoa ni nani?

Watu hawapagaw na publicity... wanaangalia numbers
Nimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.
 
Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Kwan ruge alikua na shida gani,
 
Nimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.
Ni rahisi kuwa baba mzazi ila kuwa baba ni kazi....

Kuna tofauti saana kati ya ndoa na uchumba hata km muna watoto mia.

Pesa hainunui love ingawaje ni nyenzo muhimu katika love....

Wewe binafsi ukipewa billion na usiolewe bado kuna kitu utamis... sawa na mimi unipe trillion afu unikate pu...mb utaniwaza kweli?

Zamarad ni cheche zoefu anajua madhara ya kuwepo alipokuwa na faida ya anakoelekea...

Bariki ndoa tu.
Uyo unayemtaka wewe huja na kasepa kama mtalii ndani ya serengeti.
 
Back
Top Bottom