Kabisa, inahitaji roho ya chuma labda kama yuko after something else, zaidi ya loveIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Naona hunielewi na huwezi nielewa sijalaumu alichokifanya nimesifu uamuzi wake maana amechagua ndoa amechagua furaha hawezi kuendelea kuzalishwa sababu tu Ruge yuko na hela.Ni rahisi kuwa baba mzazi ila kuwa baba ni kazi....
Kuna tofauti saana kati ya ndoa na uchumba hata km muna watoto mia.
Pesa hainunui love ingawaje ni nyenzo muhimu katika love....
Wewe binafsi ukipewa billion na usiolewe bado kuna kitu utamis... sawa na mimi unipe trillion afu unikate pu...mb utaniwaza kweli?
Zamarad ni cheche zoefu anajua madhara ya kuwepo alipokuwa na faida ya anakoelekea...
Bariki ndoa tu.
Uyo unayemtaka wewe huja na kasepa kama mtalii ndani ya serengeti.
Hatujui sura imefichwa tutaujua ukweli
Acha ubaguzi wewe! Shida iko wapi kama wamependana na mtonyo upo!Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kabisa sababu ni vema ndoa kuliko kuendelea kutotoa bila ndoa[emoji23]Ungekua zamaradi ungefanya ivo, ??
Mmh! Kweny hamna,!?Kabisa sababu ni vema ndoa kuliko kuendelea kutotoa bila ndoa[emoji23]
Huo mguno vipi tenaMmh! Kweny hamna,!?
Basi tu, nasukuma chakula tumboni,Huo mguno vipi tena
nimejikausha imenibidi nicheke tu,lakini pia binafsi nahisi hiyo lazima ni bongo movie maana kama haitokuwa movie taamini ule msemo wa THE POSSIBLE IMPOSSIBLE!Tena mwanamke alikua amewekwa ndani zaidi ya miaka mitano, kweli tuko tofauti sana.
Za kunyapianyapia ni mtoto wa Kasim MajaliwaSiyo Ruge
Mtoto wa ndugu yake na Majaliwa. Siyo mtoto wa MajaliwaZa kunyapianyapia ni mtoto wa Kasim Majaliwa
Haaa basi sawa.Basi tu, nasukuma chakula tumboni,
Weyeeeee......ati waniweka kiporo?Nakuweka tu kiporo
Anaolewa na mtoto wa waziri mkuu Majaliwa,amesema inatosha bac,nampongeza sana,ukiona hapaeleweki just move onNimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.