Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Ni rahisi kuwa baba mzazi ila kuwa baba ni kazi....

Kuna tofauti saana kati ya ndoa na uchumba hata km muna watoto mia.

Pesa hainunui love ingawaje ni nyenzo muhimu katika love....

Wewe binafsi ukipewa billion na usiolewe bado kuna kitu utamis... sawa na mimi unipe trillion afu unikate pu...mb utaniwaza kweli?

Zamarad ni cheche zoefu anajua madhara ya kuwepo alipokuwa na faida ya anakoelekea...

Bariki ndoa tu.
Uyo unayemtaka wewe huja na kasepa kama mtalii ndani ya serengeti.
Naona hunielewi na huwezi nielewa sijalaumu alichokifanya nimesifu uamuzi wake maana amechagua ndoa amechagua furaha hawezi kuendelea kuzalishwa sababu tu Ruge yuko na hela.
Ndo maana nikakuambia kwa dunia ya sasa ni wanawake wachache sana wanaweza fanya alichofanya zamaradi. Wengine wanakubali kuendelea Kuzalishwa tu Bila ndoa sababu anazalishwa na mtu flani.
It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on.
 
Tena mwanamke alikua amewekwa ndani zaidi ya miaka mitano, kweli tuko tofauti sana.
nimejikausha imenibidi nicheke tu,lakini pia binafsi nahisi hiyo lazima ni bongo movie maana kama haitokuwa movie taamini ule msemo wa THE POSSIBLE IMPOSSIBLE!
 
Nimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.
 
Nimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.
Anaolewa na mtoto wa waziri mkuu Majaliwa,amesema inatosha bac,nampongeza sana,ukiona hapaeleweki just move on
 
Back
Top Bottom