Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Bora amejitoa kwa MKWARE,ASIYEPITWA,
Namfananisha na "NANA ADAKU II",who had 45 wives.
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Ndio ujue single maza watamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kweli mkuu kabisa yani kuna watu wnamatatizo ya moyo wanawake walivyo wengi we unaenda kuowa mtu aliye zalishwa kweli
 
Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Alaaah kumbe status ndio mnaangaliaga kwa mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…