Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Daah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
Sio jukwaa lako hili kimbiaaa
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Ila jamaa atateseka sana anatakiwa awe na roho ngumu alaf Zamaradi Ana akiwa awe karibu sana na jamaa coz kachukua hatua ngumu sana
 
Nilichokigundua kwa muda mfupi tu ni kwamba michango mingi ya kumponda / kumkejeli Zamaradi kwa uamuzi wake huo humu inatolewa na Misingo Maza iliyokubuhu na Magubegube yaliyotukuka.
Mkuu kula mchemsho hapo kabisa, yani gubegube zinaumia utafikiri wao hawana mabwana wanaotosha level siti za ngorika
 
Mkuu kula mchemsho hapo kabisa, yani gubegube zinaumia utafikiri wao hawana mabwana wanaotosha level siti za ngorika

Nimeshawapa ' dozi ' yao kama kawaida yangu ya ' kutowachelewesha ' Watu wenye ' Kuwashwawashwa ' humu na nadhani umeshaona jinsi walivyotulia sasa tuli!
 
Mimi mwenyewe ningeweza kumuoa zamaradi maana ni mrembo mzuri cute mwembamba mtamu siku zote huwa namkubali sana sana kuzaa sio hoja watoto si wanaenda shule boarding na maisha yanabaki sisi wawili
 
Ruge Ndio Ana status but hamna cha maana alikua anapata,hakua muowaji anazaa kila mahali Huku anazaa na zama alikua anazaa kwengine pia dini pia ilikua kikwazo kwao ... so hapo Kati zama alishaanza kuchoka so ruge alikua analea tu wanae Ndio kupata mwanaume mwingine Tena anajiweza unakataaje tena wa Imani yako sio rahisi
Watajuana wenyewe...
 
Nimeshawapa ' dozi ' yao kama kawaida yangu ya ' kutowachelewesha ' Watu wenye ' Kuwashwawashwa ' humu na nadhani umeshaona jinsi walivyotulia sasa tuli!
Hhahahah, you nailed it bro, kuna wastaafu humu kama mkulu alivosema. Bad enough kuna vidume vimeamka nae eti
 
Zamaradi kweli kama kaolewa nitamtumia vocha ya elfu 50 ajiunge red relax ya vodacom. Life is all about happiness na maamuzi ya busara Ruge angempenda angemuoa mda wote huo
 
Nimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.
Kama alivyoachwa ruge na huyo mwingine ataachwa hivihivi
Historia haidanganyi
 
Sorry, kwan zamaladi ni celebrate?

Namfahamu kama mtangazaji wa take one, kipindi chenye maudhui ya maigizo, alimaarufu bongo movie, so pasipo na shaka alikuwa katika production ya kipindi chake cha take one.
 
Back
Top Bottom