Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Mapenzi kitu cha ajabu sana yaani unaona mwanamke ambaye bado Ruge atamla tu hata kama mmefunga ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta kamwambia hakuna tatizo olewa tu na kenyewe kakajibu he is such a gentlemen maana ukiwa unakubali kila kitu ndio unapewa ka sifa hakoNa ni boss wake, akileta fyokofyoko kazi hana
Eeeeh kumbeee... basi huyo mme mpya inawezekana anaelewa kila kitu hadi wamefikia hatua hiyoKwani we hujui zama na mmewe wagonjwa humuoni ruge afya mgogoro
Wanaume tu na ndugu wa kike wa huyu jamaa ndio tunaelewa hili, naona mamarioo na single mums wanaona ni sawa ila hii ndoa huyu dogo atafurahia honeymoon tu baada ya hapo atakua hana amani kila wife anavyoenda kaziniUjinga wa kiwango cha lami. Vijana wengi wanatafuta umaarufu kwa watu maarufu
Uko sahihi... Baada ya muda huyo dogo akishaanza kuona vichedechede vya chuo basi ataanza kusaliti ndoa..Wanaume tu na ndugu wa kike wa huyu jamaa ndio tunaelewa hili, naona mamarioo na single mums wanaona ni sawa ila hii ndoa huyu dogo atafurahia honeymoon tu baada ya hapo atakua hana amani kila wife anavyoenda kazini
Mkuu kama unamfahamu Ruge ingawa huyo amefichwa sura ila inatosha kusema sio yeyeSa mbna una2letea habar isoeleweka.......haeding yako inasema kambwaga boss ruge, then hapa unasema sura imefchwa....na je kama n Ruge mwenyw ndo wamrfunga ndoa....!
Na kwa maisha ya sasa hivi sidhan kama huyo dada atakubali kuongeza mtt zaidi ya mmoja tena kwa sababu tayar ana 2Uko sahihi... Baada ya muda huyo dogo akishaanza kuona vichedechede vya chuo basi ataanza kusaliti ndoa..
Wale wawili maisha yao yako sortedNa kwa maisha ya sasa hivi sidhan kama huyo dada atakubali kuongeza mtt zaidi ya mmoja tena kwa sababu tayar ana 2
Mtu yeyote anaefanya maamuzi ya kuoa single mother ambae anafanya co parenting na mwenzie anajua fika huyo ex hakwepeki.... mimi sio mwanamume ila kwa mahusiano ya aina hiyo niliyoona na yamework out yanategemea sana na kujielewa kwa mwanamke na kiasi gani yupo kiimani na jamii inayomzunguka inamchukulia vipi na kikubwa zaidi mlianza mahusiano yeye akiwa na malengo (kama alikua kamove on na kajiandaa kwa mahusiano mapya utaenjoy lakini kama umechukua dunga yembe kaja kwako kumkomoa ex na kujifariji andika maumivu)Furaha haina formula ila huwa kuna factors zakuangalia kabla ya kuoa sijasema haiwezekeni kupata furaha na single mom, hiyo ndoa Ruge atakua hakwepeki kuwa mzimu unless Zama aache kazi CMG haihitaji hata degree kuliona hilo! Maana nyumban kwako yupo kwa damu yake na wife akienda job yupo naye, Huo utafiti wa ndoa za masingle mom kuolewa sana kuliko wasiozaa umeufanyia mkoa gani?
Mbona alitaka juicer take ndoa apeleke posa bible aliweka ngumu. Mwanamama ameamuaLAKINI BOSS ATAENDELEA KULA PAPUCH
Nadhan umeshaelewa! Inaonekana kwa maneno ya humu kwamba ameolewa sababu Ruge amuoi so bila ya hivyo angemuoa! Trust me hizo ndoa za single moms zinazoenda vizuri angalia nyingi ni mtoto mmoja na kama ni zaidi basi na mwanaume ana watoto pia, vile vile nyingi baba mtoto kama hajatelekeza mtoto kwa huduma basi hayupo karibu na mama mtoto, vitu ambavyo havipo kwenye ndoa yetu mpyaMtu yeyote anaefanya maamuzi ya kuoa single mother ambae anafanya co parenting na mwenzie anajua fika huyo ex hakwepeki.... mimi sio mwanamume ila kwa mahusiano ya aina hiyo niliyoona na yamework out yanategemea sana na kujielewa kwa mwanamke na kiasi gani yupo kiimani na jamii inayomzunguka inamchukulia vipi na kikubwa zaidi mlianza mahusiano yeye akiwa na malengo (kama alikua kamove on na kajiandaa kwa mahusiano mapya utaenjoy lakini kama umechukua dunga yembe kaja kwako kumkomoa ex na kujifariji andika maumivu)
Kuoa single mother ni hatari hata umpende vipi usijali sana upendo wako kwake hali yeye kama yeye anasimamia wapi. Kitu kizuri mwanamke akichoka hata alale na ex kitanda kimoja hakuna litakalotokea
Hatari sanaNilichokigundua kwa muda mfupi tu ni kwamba michango mingi ya kumponda / kumkejeli Zamaradi kwa uamuzi wake huo humu inatolewa na Misingo Maza iliyokubuhu na Magubegube yaliyotukuka.
Hahahaha una utani na ndoa ya watu wewe!Kwani huyo jamaa hapo sio kamanda Ruge?