Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uzushi ,Za kunyapianyapia ni mtoto wa Kasim Majaliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naamini ruge Jumatatu anaongea na umma kuhusu hii ishu
Ila imani wakati mwengine inachangia,huyo anajua anytime anywhere anachapa talaka maisha yanaendelea sasa wale wa hadi kifo kiwatenganishe ni wachache wanaojaribu hili.Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
atumie busara 🙁Duuuhh naomba Tu mkuu asije akaotesha kibarua cha watu nyasi za ukoka......mana najua lazma kaumia moyo
Angeona amani ni mtihani asingemuoa in the first place..... utakua mwanaume suruali kujibeba kutoa posa mpaka harusi sehemu ambayo unajua kutakua na figisu (lazima use ni mwanaume kiumri na mvulana kiakili) lakini hao ni Muslims yakimshinda talaka in a minute... angekua akina sie ndo angeonja joto ya jiwe.Mwanamke sina tatizo na kuwa na furaha! Je mwanaume atakua na amani?
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Hiyo akili unayo wewe kuna watu nyege zinawapeleka vibaya anaweza kuoa hata changudoaAngeona amani ni mtihani asingemuoa in the first place..... utakua mwanaume suruali kujibeba kutoa posa mpaka harusi sehemu ambayo unajua kutakua na figisu (lazima use ni mwanaume kiumri na mvulana kiakili) lakini hao ni Muslims yakimshinda talaka in a minute... angekua akina sie ndo angeonja joto ya jiwe.
Huwa kichwa cha chini kinazid akili cha juuKuna vijana wana roho za chuma
Inahitaji moyo wa chuma...hata mimi nlijiapisha kutokuoa aliyezaa na mtu.....ila ndo hivyo kupanga ni kuchagua!kimfaacho mtu chake[emoji12]Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo