mangi meri
Senior Member
- Aug 13, 2017
- 116
- 151
Ooohoooo!!Ni matumaini yangu makubwa kabla ya hiyo Ndoa / Harusi walishapima pia UKIMWI / Dally Kimoko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooohoooo!!Ni matumaini yangu makubwa kabla ya hiyo Ndoa / Harusi walishapima pia UKIMWI / Dally Kimoko.
Hapo sasa! Jamaa kashindwa kuunganisha dot!Msaada:
Ulivyosema Boss wa Clouds ulimaanisha nani?
Clouds ina maboss wangapi?
Ila kitu kingine chochote haina shida?kitu ambacho siwezi kuoa mwanamke ambae amezaa
Namba zipi mkuu!?Ruge ana status gani ya ajabu.... we unamjua uyo aliyemuoa ni nani?
Watu hawapagaw na publicity... wanaangalia numbers
Ndo hivyo tena acha aolewe kwani kaoa vidoleDah....ana vidole vbaya huyu mdada... (Zamarad)
Wa peke yako itabidi ukamuumbe mwenyewe mkuuTena mwanamke alikua amewekwa ndani zaidi ya miaka mitano, kweli tuko tofauti sana.
Yaani mm mwanamke akisha zaa sichukui hata awe mzur vipi hata bure aende tu watu wanaroho ngumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
HAHAHAH KAKA! SEMA FUPI TYUUUUU...Ok, ingawa video ya kijanja janja sana
HUYU JAMAA NDUGU WA WAZIRI MAJALIWAHuyo Jamaa atakuwa kafata frem za Zamaradi pale Kinondoni studio na Ghorofa la kina Zamaradi pale Mtaa wa Mafya Kariakoo walizoachiwa na Marehemu Baba yao
haa haa mweeh....i meant hadi angerudiyesu angefufuka mara ya ngapi tena mkuu,kweli umepagawa!
Agiza supu nakuja kulipa chaliiHakuna aliyepambana na Ruge akabaki salaam.
Lady Jayde na Gadna wanalijua hili
MANGEKIMAMBI: Zamaradi Mketema kaolewa Leo na mtoto wa ndugu yake Waziri Mkuuu Majaliwa!! Ambwaga bosi wa Clouds FM mchana kweupeeee. .
.
.
I'm so proud of you Zamaradi. Huku deserve kuwa na mwanaume wa kukutenda vile. Nakumbuka kuna siku nilikusema sana kwanini unakaaa na mwanaume anaekucheat kiasi cha kukuletea watoto? Sikuwa na nia mbaya kwako Ila nilitaka tu uijue thamani yako! I'm glad kuwa finally umepata nguvu ya kuachana nae na kumfata atakaeweza kukuheshimu...@zarithebosslady umebaki wewe tu na ustrong woman wako.
.
.
Sasa huyu ndio ana deserve kusifiwa na kuitwa Strong woman!! Haya yanaitwa maamuzi magumu!
.
. .
PS: kwa wale mnaodoubt hii harusi.Naomba msidoubt hii habari nna uhakika nayo 100%!!!
Ruge kutomuoa ni sababu moja wapo ya kumove on... tusiwe majaji tu kaka... huyu ni mtu maarufu hata litokee jambo halitofichika na ndoa hiyo talaka sio jambo gumu, muda utaongea.Nadhan umeshaelewa! Inaonekana kwa maneno ya humu kwamba ameolewa sababu Ruge amuoi so bila ya hivyo angemuoa! Trust me hizo ndoa za single moms zinazoenda vizuri angalia nyingi ni mtoto mmoja na kama ni zaidi basi na mwanaume ana watoto pia, vile vile nyingi baba mtoto kama hajatelekeza mtoto kwa huduma basi hayupo karibu na mama mtoto, vitu ambavyo havipo kwenye ndoa yetu mpya
Mwanamke sina tatizo na kuwa na furaha! Je mwanaume atakua na amani?Ruge kutomuoa ni sababu moja wapo ya kumove on... tusiwe majaji tu kaka... huyu ni mtu maarufu hata litokee jambo halitofichika na ndoa hiyo talaka sio jambo gumu, muda utaongea.
Binafsi naona ndoa iliyo bora sababu zamaradi ni mwanamke smart plus nikijivalisha viatu vyake hayo maamuzi ningefanya muda mrefu ruge kamzalilisha sana sio mara moja lakini kavumulia mno kama ilivyo asili ya mwanamke "uvumilivu" mpaka kaamua kuondoka ujue haina kurudi nyuma.