Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

478a9e5e1d44492a67c72a7d3bc4ce4f.jpg
 
Furaha haina formula unaweza oa huyo asiyezaa na bikra juu labda na bado ukaishia kupuyanga...... wanaume wote wangekua kama wewe hakuna single mother angeolewa but kama upo very observant utagundua miaka hii single mothers wanaolewa sana tena na watu wenye uwezo kuliko wao kuliko the so called pures....
Stick to msimamo wako na Mungu akupe furaha katika huo lakini tu usizalishe mtu ukamuacha, utakua na mantiki zaidi ukizalisha uliyeoa na hata huko ndani kukifuka Moshi ng'ang'ana tu sababu ukimuacha anaweza akose mwenye roho ngumu wa kumchukua
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
 
Watu wengi hawajui maana ya kufunika uso.
Maana yake ni kuwa mwanamke ni bikra, maana yake ni utando, kwamba mwanaume anaenda kuukata ule utando. Kumfunua uso maana yake anafungua bikra.
Anafungua njia.
Je huyo bi harusi ni Bikra???
Nataka kuangalia series ya game of thrones nitumie link basi
 
Ing
Ungekua zamaradi ungefanya ivo, ??
Ingawa hujanilenga ila hata Mimi ningekua zamaradi ningefanya hivyo plus hata unioe 10 yrs ukianza kunifanyia vituko divorce itahusika vile vile.... mapenzi yanasumbua sana siku hizi ukiwa bingwa wa uvumilivu usio na msingi utakufa bila sababu (nimewitness failed marriages nyingi tu lakini watu wamo tu mpaka wanaonekana wakubwa kuliko umri wao)
 
MANGEKIMAMBI: Zamaradi Mketema kaolewa Leo na mtoto wa ndugu yake Waziri Mkuuu Majaliwa!! Ambwaga bosi wa Clouds FM mchana kweupeeee. .
.
.
I'm so proud of you Zamaradi. Huku deserve kuwa na mwanaume wa kukutenda vile. Nakumbuka kuna siku nilikusema sana kwanini unakaaa na mwanaume anaekucheat kiasi cha kukuletea watoto? Sikuwa na nia mbaya kwako Ila nilitaka tu uijue thamani yako! I'm glad kuwa finally umepata nguvu ya kuachana nae na kumfata atakaeweza kukuheshimu...@zarithebosslady umebaki wewe tu na ustrong woman wako.
.
.
Sasa huyu ndio ana deserve kusifiwa na kuitwa Strong woman!! Haya yanaitwa maamuzi magumu!
.
. .
PS: kwa wale mnaodoubt hii harusi.Naomba msidoubt hii habari nna uhakika nayo 100%!!!
 
Furaha haina formula unaweza oa huyo asiyezaa na bikra juu labda na bado ukaishia kupuyanga...... wanaume wote wangekua kama wewe hakuna single mother angeolewa but kama upo very observant utagundua miaka hii single mothers wanaolewa sana tena na watu wenye uwezo kuliko wao kuliko the so called pures....
Stick to msimamo wako na Mungu akupe furaha katika huo lakini tu usizalishe mtu ukamuacha, utakua na mantiki zaidi ukizalisha uliyeoa na hata huko ndani kukifuka Moshi ng'ang'ana tu sababu ukimuacha anaweza akose mwenye roho ngumu wa kumchukua
Furaha haina formula ila huwa kuna factors zakuangalia kabla ya kuoa sijasema haiwezekeni kupata furaha na single mom, hiyo ndoa Ruge atakua hakwepeki kuwa mzimu unless Zama aache kazi CMG haihitaji hata degree kuliona hilo! Maana nyumban kwako yupo kwa damu yake na wife akienda job yupo naye, Huo utafiti wa ndoa za masingle mom kuolewa sana kuliko wasiozaa umeufanyia mkoa gani?
 
Hatujui sura imefichwa tutaujua ukweli
Sa mbna una2letea habar isoeleweka.......haeding yako inasema kambwaga boss ruge, then hapa unasema sura imefchwa....na je kama n Ruge mwenyw ndo wamrfunga ndoa....!
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kazi sana ila mi bora nirudi kuoa ka form four kalikomaliza kuliko single mother naomba niepushwe na hilo
 
Nimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.

Katika penzi la kweli fedha si chochote!
 
Dah....ana vidole vbaya huyu mdada... (Zamarad)
 
Sa mbna una2letea habar isoeleweka.......haeding yako inasema kambwaga boss ruge, then hapa unasema sura imefchwa....na je kama n Ruge mwenyw ndo wamrfunga ndoa....!
Hujui maana ya tetesi
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Ujinga wa kiwango cha lami. Vijana wengi wanatafuta umaarufu kwa watu maarufu
 
Back
Top Bottom