Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Sio jukwaa lako hili kimbiaaaDaah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio jukwaa lako hili kimbiaaaDaah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
I liked this it hurts to let go but it hurts more to hold on! ThanksNi wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Ila jamaa atateseka sana anatakiwa awe na roho ngumu alaf Zamaradi Ana akiwa awe karibu sana na jamaa coz kachukua hatua ngumu sanaIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
pesa inaongeza furahaSio pesa tena??
Inawezekana wewe sio agger, ila ni auger. Wakati niko SUA tulitumia kufanyia soil sampling. Najua umenielewa Mr AugerSio jukwaa lako hili kimbiaaa
Mkuu kula mchemsho hapo kabisa, yani gubegube zinaumia utafikiri wao hawana mabwana wanaotosha level siti za ngorikaNilichokigundua kwa muda mfupi tu ni kwamba michango mingi ya kumponda / kumkejeli Zamaradi kwa uamuzi wake huo humu inatolewa na Misingo Maza iliyokubuhu na Magubegube yaliyotukuka.
Mkuu kula mchemsho hapo kabisa, yani gubegube zinaumia utafikiri wao hawana mabwana wanaotosha level siti za ngorika
Watajuana wenyewe...Ruge Ndio Ana status but hamna cha maana alikua anapata,hakua muowaji anazaa kila mahali Huku anazaa na zama alikua anazaa kwengine pia dini pia ilikua kikwazo kwao ... so hapo Kati zama alishaanza kuchoka so ruge alikua analea tu wanae Ndio kupata mwanaume mwingine Tena anajiweza unakataaje tena wa Imani yako sio rahisi
Hhahahah, you nailed it bro, kuna wastaafu humu kama mkulu alivosema. Bad enough kuna vidume vimeamka nae etiNimeshawapa ' dozi ' yao kama kawaida yangu ya ' kutowachelewesha ' Watu wenye ' Kuwashwawashwa ' humu na nadhani umeshaona jinsi walivyotulia sasa tuli!
Yaani bora ameshtukayule bosi ni mali ya umma angesubiri ndoa hadi yesu angefufuka....
Kama alivyoachwa ruge na huyo mwingine ataachwa hivihiviNimeongelea kifedha huyo aliyemuoa anaweza akawa hana kama za Ruge kingine kuachana na mwanaume aliyezaa naye watoto wawili na kuamua kumove on si jambo rahisi wanawake wengi wanashindwa hapa take it or leave it.
Ni Agger kama hivyoInawezekana wewe sio agger, ila ni auger. Wakati niko SUA tulitumia kufanyia soil sampling. Najua umenielewa Mr Auger
Una Maana Ya Kwamba Bwana Harusi Mpya Ni Kuwa Ataishia Kigadna Gadna Etiiiii???Hakuna aliyepambana na Ruge akabaki salaam.
Lady Jayde na Gadna wanalijua hili