Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Hakuna anayependa kutembea na bosi wake,,bali wanapewa mazingira magumu, ,masharti magumu na vishawishi mpaka BUMUNDA LINALIWA mkuu....tena huyo zamaradi ndy official inajulikana alikuwa na uhusiano na RUGE...lakini wake zetu huko maofisini ni kama tumewaolea wao hao mabosi...na hii ni PROVED 100% no doubt...wanawala sana tu...ni wangapi wake zao hawawapi UNYUMBA kwa KISINGIZIO KAZI NYINGI? leo nimechoka sana mume wangu...UKISHA AMBIWA HIVYO ,,elewa ilikuwa zamu ya bosi KULA BUMUNDA LA MKEO....mkuu hawa wanawake tuwaache tu wafanye kazi...lakini ukiingia kwa undani unaweza ukaamua kumpumzisha kufanya kazi mkeo...
Quite right
 
Jamaa zembe sana badala ya kutafuta vitoto vibichi kabisa kitaa hata mimba havijatoa anaenda oa hyo mwenye watoto wawili kisha kesho anakuaga anawapeleka watoto kwa baba yao akawasalimie
Atafute kitaa kipi wakati watoto wanabikiliwa wakiwa darasa la pili , hapo alivofanya ndio sawa.
 
Bora Zama kamove on,binafsi nilimshangaa sana,alidhalilishwa live yaani demu mwingine aliekuwa na mimba ya Ruge anavaa shati la Ruge anajirekodi bado Zama hakumuacha Ruge,ningekuwa mimi ningemtema Ruge on spoti,mwanaume kitombi wazi wazi kabisa unamng'ang'ania wa nini ?Wallah bora nitumie doldo kuliko mwanaume kitombi kama Ruge.
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kacheza patapotea huyoo
 
Bora Zama kamove on,binafsi nilimshangaa sana,alidhalilishwa live yaani demu mwingine aliekuwa na mimba ya Ruge anavaa shati la Ruge anajirekodi bado Zama hakumuacha Ruge,ningekuwa mimi ningemtema Ruge on spoti,mwanaume kitombi wazi wazi kabisa unamng'ang'ania wa nini ?Wallah bora nitumie doldo kuliko mwanaume kitombi kama Ruge.
Mmmmmh mbona maneno makali saana hayo eeti eeeeh
 
Daah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
Kweli kabisa Alfu Mungu abarik ndoa yake kafanya Jambo jema linalo mpendeza MUNGU
 
Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge. It hurts to let go but sometimes it hurts more to hold on !!! Hongera sana kwake.
Wanawake mkiwezeshwa mnaweza. Maisha yana maajabu mengi
 
Ni wanawake wachache Sana wenye courage ya kufanya alilofanya Zamaradi hasa ukiangalia status ya Ruge...
Huenda alimconsult na Ruge kamwambia go ahead baby, sina mpango wa kukuoa afterall. Hivi ana watoto wangapi? Wanaume tuna mioyo ya kupenda sana kwa kweli.
 
Ndio mkuu ila na wao wanakuwa Cheap mno.
Mazingira mkuu....mm nilishawahi fanya kazi kwa wahindi fulani hapo zamani....kuna jamaa ana mkewe anamleta na kumchukuwa jioni kwa gari binafsi..basi yule mdosi akawa anakula yule mkewe jamaa BUMUNDA ,,,duu..sometimes jamaa akimfata mkewe anaambiwa yupo Godown kupiga stock taking...kumbe mdosi yupo nae kwake anamla tu...jioni anamrudisha ofisini ,,anakuta mumewe anamsubiri...yaani roho ilikuwa inaniuma sn tu..nikisema nimshtue msela ...nahofia kibarua changu du...wake za watu kwa mabosi wao hawajawahi kubaki salama
 
Nionyeahe sehem nliyosema mwanamke kuwa single mother ni vibaya?!
Usitake tuanze hio topic,unaijua JF fikaa...mwacheni Zama kwa raha zake..mmezoea tu wanawake kuvumilia BS, looks like times are changing very fast...
 
Ruge nia ilikuwa ni kiburudisho tu ataoa kwe mtu mwenyewe ni bongo freva saa ngapi atafanya mahaba na mama toto nyumbani
 
Bora Zama kamove on,binafsi nilimshangaa sana,alidhalilishwa live yaani demu mwingine aliekuwa na mimba ya Ruge anavaa shati la Ruge anajirekodi bado Zama hakumuacha Ruge,ningekuwa mimi ningemtema Ruge on spoti,mwanaume kitombi wazi wazi kabisa unamng'ang'ania wa nini ?Wallah bora nitumie doldo kuliko mwanaume kitombi kama Ruge.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom