Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Mnaosema Zamaradi anaonewa kusemwa...nimewaletea kidogo msikie furaha zaidi.

Instagram from @soudybrown - Gigy Money aorodhesha msururu wa Ma Star waliowahi kumko.....za #Kwichikwichi .
Gigy alikua anahojiwa na Mtangazaji Zamaradi Mketema
.
Katika List Hiyo Yumo..... .
Ali Kiba na Mdogo wake Abdu Kiba, Rich Mavoko, Hemed PhD, Casto Dickson, Ney wa Mitego eti hana Sita za kumiliki mwanamke mzuri, Harmonize chupuchupu aonje asali lakn bahati mbaya cku waliyoenda Lodge akapata hedhi ghafla , na sasa hivi amepumzika kudanga na Ana #Kwichikwichi na Mtangazaji mwenzake wa Choice fm, ktk wanaume wote aliowataja ktk kipindi cha TekOne amesahau kunitaja mm na Boyfriend wako tu (Natania)
.
Inasemekana Lakini, eti
.
Post kwa Niaba ya Shirika la Wambea Duniani.......
 
exactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini
Wote ni wadau kwenye jahazi moja hivyo mjadala uli jijenga kibiashara zaidi,kwa namna ya scrach my back l'll scrach yours.
 

Mkuu nikishasema huyo dada ni anapenda kurukia rukia mambo ili apate Spotlight!
Aonekane ndie mtangazaji bora!

Kaacha kufatilia filamu anakimbilia mambo ya umbea umbea tu.
 
Anasema pesa ndigo aliyowahi kulipwa ili kutoa kitumbua usiku kucha ni 50,000/-
 

Mlioangalia hicho kipindi.. Zamaradi hajamuuliza gigy money kama anatoa tiiGo
Kama aliingia room na Hmonize huku akijua yupo mp je alitaka kumpa nini kijana wa watu ?
 
Ngoja wajitokeze waliomlamba bure
 
Zamaradi anatafuta kuongeza watazamaji wa kipindi, and her strategy is brilliant. Controversy will always bring crowds, whether kama unampenda au unamchukia ni lazima utamuongelea na kwa kufanya hivyo unamtangaza na kuzidi kumuongezea watazamaji and consequently revenue. we utatoka povu JF, Zamaradi & Ruge are laughing all the way to the bank! Hizi sentiments za maadili ndizo zinazotumika kuamsha watu na kuwafanya waongee kwa sababu inajulikana wazi kwamba siku zote kuna pande mbili zinazopingana. Prostitution is often referred to as the world's oldest profession, ndio maana mimi sioni kama ni tatizo ambalo litaisha but rather part of society structure. Prostitution isn't exempt to the laws of supply and demand, ndio maana so long as wanunuzi wapo bidhaa itaendelea kuwepo. Mojawapo ya mambo yanayofanya dunia izunguke.

Zamaradi is making a career as someone who is not afraid to go head on with controversial subjects, Gigy is establishing herself as a high profile escort, Clouds media is making money, na sisi tunatokwa mapovu.😎😎😎
 
Ney wa mitego amefanya sahihi kuwa bahili kwa wahuni hawa
 
TCRA hawana meno cloudz media coz uccm upo pale hata viongozi wengi hukimbilia Clouds media kama Makonda na wengineo hata fine ya juzi ni geresha tuu ionekane wametenda haki
 
Kuna tatizo la Point of View.
Mimi naona Giggy kaongea vizuri sana.
Anasema yeye alikataliwa na wazazi wake tangu kabla hajazaliwa, na anaelezea kuwa hata kuzaliwa kwake kulimsononesha mama yake.
World has created her
 
Mke wa boss naye ni boss pia. Anaamua anavyopenda.
 
Huyu zama ni boya sana sijaelewa theme ya take one ni filamu au kipindi cha umbea? Maana naona amegeuza kipind cha filamu kuwa cha udaku sijui kaishiwa......anamuiga sporah njau wakati yule ni proffessional aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…