babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for the needful about this networking
Angalia hapo kwenye YOU yaani weweUmenisahau kaka
Wewe hapaSasa mimi mbona sipo kwenye hiyo network au ndo najiattach popote?
nimesahau nn mkuuUmenisahau kaka
one love braThanks for the needful about this networking
Kumuweka kwenye mtandao [emoji25][emoji23]nimesahau nn mkuu
huyo wema kujifanya Kim K sishangai mana Kim kashakuaga na sex tape na Ray J!Na role models wa Wema na Wolper ni akina nani?
Wema nishawahi kumsikia kabisa akisema kuwa role model wake ni Kim Kardashian.
Claim to fame ya Kim Kardashian unaijua?
Na kipindi cha The Kardashians kinaonyeshwa Tanzania?
Ukute bibi mzaa mama wa gigy was good person Ila ndo wale wamama au watoto wanaoamua kupinda tu wenyewe mana wapo wanaolelewa na both parents kama kina wolper au wema na kina uwoya bado wakapinda pia!Na mama yake mtu wa kwanza kulaumiwa anapaswa kua mama yake, na mama yake na mama yake alie mzaa mama wa mama yake ambae ni bibi yake ... And the list goes on
hahahaah ye sio star bana mtandao wa mastar huoKumuweka kwenye mtandao [emoji25][emoji23]
Atakua aliwaza WAZO.View attachment 379243
Huyu mtangazaji wa Clouds TV, Sielewi hawa watu anaowahoji lengo lake ni nini, naona upumbavu anaoongea Gigy Money kwenye kipindi chake cha Take One, najiuliza kwanini anaruhusu ujinga huu. Nilidhani amejifunza na ile ishu ya yule shoga kumbe bure kabisa
View attachment 378980
=========
Gigy Money Jumanne hii aliwaacha mdomo wazi mashabiki wake baada ya kuwataja live kwenye runinga mastaa 6 wakiume aliotoka nao kimapenzi.
![]()
Video queen huyo ambaye amewai kutamba katika video za mastaa mbalimbali wa bongo, amedai amewai kutoka kimapenzi na AliKiba, Abdu Kiba, Rich Mavoko, Harmonize, Hemed Phd pamoja na mtangazaji wa kipindi cha runinga cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Castro Dickson ambaye alidai alikuwa tayari kumzalia mtoto.
![]()
“Nilikuwa na Castro mpaka nilikuwa tayari kumzalia,”
Gigy Money alikiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV.
“Kwa sababu anajua upendo kwa mtoto, lakini wakaja wanawake wamjini wakakorofisha, lakini hajawai kuniambia kama tumeachana, sijui kama tumeachana,”Gigy ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM alidai Mama yake mzazi alimzaa nyuma ya mlango wa choo.
Pia alisema kwamba aliwahi kujitoa kimwili katika umri mdogo ili apate hela ya kuweza kumnusuru mama yake mzazi kulipa deni la mkopo wa Benki.
Sina tatizo na Zama kuhusu watu wake anaowahoji, awahoji mashoga, makahaba, majambazi, mafisadi, wala rushwa, hilo ni juu yake,Hii ni take one new chapter, watu hawapendi kusikia ukweli ndio maana mnajikuta mnaponda kila kitu, umeshajiuliza kuna gigy wangap mtaani? Na wanatakiw kusaidiw mapema il wawe sawa? Suala la malezi pia huoni ni tatizo? Vipind vyote mnatak viwe taarifa ya habar au? Kila kitu Una mda wake km anakuboa kaangalie TBC
Hahahaha..😀😀😀Mtu na mdogo wake wanaangalia take one ya clouds TV.