Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Huyu Zamaradi mbona anavua maana ya kipindi chake???
Nilijua Take One ni kipindi kinachohusu masuala yote ya filamu na wana filamu, siku hizi imekua tofauti anahoji watu tofauti na tasnia hiyo, na hata wenye tasnia hiyo pia wakihojiwa ni maisha yao binafsi na sio kuhusu biashara zao.

Je ni kukosa ubunifu? Hakuna tena kazi za wasanii wa filamu? au maudhui ya kipindi yamebadilika ila jina ni lile lile?
Hii ni take one new chapter, watu hawapendi kusikia ukweli ndio maana mnajikuta mnaponda kila kitu, umeshajiuliza kuna gigy wangap mtaani? Na wanatakiw kusaidiw mapema il wawe sawa? Suala la malezi pia huoni ni tatizo? Vipind vyote mnatak viwe taarifa ya habar au? Kila kitu Una mda wake km anakuboa kaangalie TBC
 
Na mama yake mtu wa kwanza kulaumiwa anapaswa kua mama yake, na mama yake na mama yake alie mzaa mama wa mama yake ambae ni bibi yake ... And the list goes on

list itafika kwa hawa/eva...
 
Msicho kijua kutoka kwa gigy money ni kwamba umalaya alio nao kalisi kutoka kwa mzazi wake mmoja na amemtaja kua alikuwa anatoka akirudi na mkwanja anawapa watoto wake na mzazi huyo pia alikuwa akivaa vivazi vya ajabu ajabu so usishangae kuona yeye yupo hivyo
 
Cha kushangaza clouds media wamempa ajira huyu gigy malaya eti mtangazaji wa choice fm inayomilikiwana clouds media duuuuuuuuuui. Kweli hii kazi sasa harafu anasema anapenda kuwa maarufu that's y anapiga picha za ajabu ajabu ili apate kick town..... Wenzie wanatafuta stata yeye anatafuta kick
 
Why are you so judgmental?

Kwani huyo Gigy hastahili kupata riziki yake iliyo halali?
 
Kwaio Tanzania kikija kipindi kama cha jerry springer itakua balaaa basi...
 
exactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini
Labda anayehojiwa naye ni poyoyo anadhani kutaja me wengi aliolala nao ni sifa wakati ni ufala na kuharibu maadili ya jamii
 
Why are you so judgmental?

Kwani huyo Gigy hastahili kupata riziki yake iliyo halali?
Lahasha mkuu tatizo presenter lazima awe nimtu mwenye kujiheshimu coz jamii ina mtazama na kumuangalia pia so anapo weka wazi mambo yake kwa media kwamba yeye yupo tayari kulala na mtu yeyote atakaye mp dau la kueleweka hii nini maana yake kwa mfano. Je huyu anafaa kuwa kioo cha jamii? Au hizi ndio sifa za presenter mzuri? That's y ni kasema hakustahili hata kupata kazi anayoifanya. Bola angeenda pale uwanja wa fisi awe official...... Tujuwe moja
 
Well, labda ungeanzisha kituo chako na kuweka vigezo vyako.

Lakini sidhani kama kuna vigezo universal.

Wao kama wamemuona anafaa, unachoweza kufanya wewe ni kutoa maoni yako tu.

Hupendi kumwona, hupendi kumsikia, acha kumfuatilia.
 
This grl wanted to be talked abt... N thats what she got.

Lord.. Mercy.
 
Daud1990

Huna point.... Jambo hulipendi unakazana kuangalia...Haya huyo Kitale anayeigiza Mateja sijaona mkimsema Mateja Ni ndugu zetu Na vijana wetu wanaharibikaa...but wa kwanza kushangilia.Nikupe mfano mwingine.Madada poa wanaojiuza..huwa mnapenda kuja kushangaa Na kulaumu hapa..lakini kumbe nyuma ya Pazia Usiku mnakesha nao..what doest it mean.I meant..Stop supporting things which are not necessary in our society.Is the only way to stop them.
 
Daud1990

Na jambo kingine..Mimi.sioni Ubaya woote wa Zama kuwahoji Watu hao..Kwa kuwa wapo.so Strange kwenye.jamii yetu via vema kuwajua ili kama Ni Ushauri ushauri au ulaumu jambo ulilolijua chanzo chake.Wengi walikuwa wanamshangaa walau Sasa wanajua tatizo Ni nini Sasa.Angalau Hata pa.kuanzia kumshauri au kukinga watoto wengine wanaochipukia unajua.That was my point.
 
Back
Top Bottom