Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Huyu gigy mwenyewe hakika akili yake anayo yakuvuka barabara tu....sasa anashangaa nini baba ake kumkataa toka tumboni wakat anasema kwao kila mtu ana baba ake...yaan badala yakumshangaa nakumchukia mama ake anashangaa matokeo...kimsingi hili ndo taifa lililopo tanzania...wale ambao wanaitwa kioo cha jamii akili zao ndo hizi fuse zimeungua....
 
Ngabu we usingejaribu kushtaki iwapo ungetajwa umetembea na Gyggy Money leo?

Hahaaa hivi kabisa kuna watu na akili zao timamu wanachukulia maanani maneno yasemwayo na huyo Gigi Money?

mfano una mke na familia hutaki wajue details za maiha yako binafsi?

Mke wangu na familia yangu sitaki wajue habari za maisha yangu binafsi? Sijakupata hapo.

Licha ya hivyo, kama anayeniienezea uzushi ni Gigi Money basi huyo ndo nitakayekula naye sahani moja. Si mwendesha kipindi.

Halafu, hivi watu mnataka hiyo Clouds au huyo Zamaradi awe msoma taarifa za habari tu?

Hayo mambo mengine ni burudani tu na kuangalia au kusikiliza ni hiari, si shurti.

Hupendi, badili stesheni.
 
Giggy naye kioo cha jamii?🙂😀
 


Unaikumbuka hii?
Janet, Justin, MTV Apologize For Super Bowl Flash
 
Ndo uache kufatilia vipindi vya kipuuzi puuzi....
Ulitakiwa umwelewe mleta Uzi. Sasa unapomkandia aliyeamua kuleta habari twambie yeye kama mtizamaji tatizo lake nini katika hii ishu? i.e kati ya wanaorusha kipindi na sie watizamaji ni nani haswa mwenye tatizo?
 
Sielewi hawa watu anaowahoji lengo lake ni nini, naona upumbavu anaoongea Gigy Money kwenye kipindi chake cha Take One, najiuliza kwanini anaruhusu ujinga huu. Nilizan atajifunza na ile ishu ya yule shoga
sasa unataka iweje hujui kua huyo mke wa bosi muache afanye anachotaka
 
Ulitakiwa umwelewe mleta Uzi. Sasa unapomkandia aliyeamua kuleta habari twambie yeye kama mtizamaji tatizo lake nini katika hii ishu? i.e kati ya wanaorusha kipindi na sie watizamaji ni nani haswa mwenye tatizo?
Wote.....
 
Kibonde wa clouds kashangilia habari ya mtu aliyefumwa akizini na mbuzi clouds wametozwa million 5.
Kama nayo hii ni burudani labda Mimi ni mshamba wa burudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…