The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mpige marufuku mkeo kuangalia vipindi vya hovyo hovyo...
We mkeo unampiga marufuku ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpige marufuku mkeo kuangalia vipindi vya hovyo hovyo...
Kweli, ile nabadilisha channel nakutana na Gigy Money kwa bahati mbaya, nafahamu uchizi wa huyu dada nikawa curious kutaka kujua nini kafata pale, nilichokipata ndo kile nilichokitarajiaVipindi vingine mtu unatazama by accident
labda mkeo anatazama
Ngabu we usingejaribu kushtaki iwapo ungetajwa umetembea na Gyggy Money leo?
mfano una mke na familia hutaki wajue details za maiha yako binafsi?
Ni mlokole haangalii/hasikilizi ujinga...We mkeo unampiga marufuku ?
Giggy naye kioo cha jamii?🙂😀Huyu gigy mwenyewe hakika akili yake anayo yakuvuka barabara tu....sasa anashangaa nini baba ake kumkataa toka tumboni wakat anasema kwao kila mtu ana baba ake...yaan badala yakumshangaa nakumchukia mama ake anashangaa matokeo...kimsingi hili ndo taifa lililopo tanzania...wale ambao wanaitwa kioo cha jamii akili zao ndo hizi fuse zimeungua....
Hahaaa hivi kabisa kuna watu na akili zao timamu wanachukulia maanani maneno yasemwayo na huyo Gigi Money?
Mke wangu na familia yangu sitaki wajue habari za maisha yangu binafsi? Sijakupata hapo.
Licha ya hivyo, kama anayeniienezea uzushi ni Gigi Money basi huyo ndo nitakayekula naye sahani moja. Si mwendesha kipindi.
Halafu, hivi watu mnataka hiyo Clouds au huyo Zamaradi awe msoma taarifa za habari tu?
Hayo mambo mengine ni burudani tu.
Ulitakiwa umwelewe mleta Uzi. Sasa unapomkandia aliyeamua kuleta habari twambie yeye kama mtizamaji tatizo lake nini katika hii ishu? i.e kati ya wanaorusha kipindi na sie watizamaji ni nani haswa mwenye tatizo?Ndo uache kufatilia vipindi vya kipuuzi puuzi....
sasa unataka iweje hujui kua huyo mke wa bosi muache afanye anachotakaSielewi hawa watu anaowahoji lengo lake ni nini, naona upumbavu anaoongea Gigy Money kwenye kipindi chake cha Take One, najiuliza kwanini anaruhusu ujinga huu. Nilizan atajifunza na ile ishu ya yule shoga
MWENYE TATIZO NI ALIYEONA KUWA MAISHA YA HUYO MDADA YANAWEZA KUWA KIPINDIUlitakiwa umwelewe mleta Uzi. Sasa unapomkandia aliyeamua kuleta habari twambie yeye kama mtizamaji tatizo lake nini katika hii ishu? i.e kati ya wanaorusha kipindi na sie watizamaji ni nani haswa mwenye tatizo?
Unaikumbuka hii?
Janet, Justin, MTV Apologize For Super Bowl Flash
Wote.....Ulitakiwa umwelewe mleta Uzi. Sasa unapomkandia aliyeamua kuleta habari twambie yeye kama mtizamaji tatizo lake nini katika hii ishu? i.e kati ya wanaorusha kipindi na sie watizamaji ni nani haswa mwenye tatizo?
Kibonde wa clouds kashangilia habari ya mtu aliyefumwa akizini na mbuzi clouds wametozwa million 5.Hahaaa hivi kabisa kuna watu na akili zao timamu wanachukulia maanani maneno yasemwayo na huyo Gigi Money?
Mke wangu na familia yangu sitaki wajue habari za maisha yangu binafsi? Sijakupata hapo.
Licha ya hivyo, kama anayeniienezea uzushi ni Gigi Money basi huyo ndo nitakayekula naye sahani moja. Si mwendesha kipindi.
Halafu, hivi watu mnataka hiyo Clouds au huyo Zamaradi awe msoma taarifa za habari tu?
Hayo mambo mengine ni burudani tu na kuangalia au kusikiliza ni hiari, si shurti.
Hupendi, badili stesheni.
Nasikia ni mtangazaji.....Giggy naye kioo cha jamii?🙂😀