Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Katika hali isiyoyakawaida Zamaradi Mketema mtangazaji wa Clouds Tv leo hii amemualika mdada mmoja anajiita Gigy Money Ambae nae pia ni mtangazaji wa hizi Radio za FM. Huyo dada bila aibu anaelezea bila kuficha mambo yake ya ajabuajabu na anaelezea watu aliowahi kutembea nao kwa kuwataja kwa majina Kawataja mastaa kadhaa wa bongo akiwemo Alli kiba na mdogo wake. Hemedi anaejiita PHD nawengineo Kinachonishangaza ni jinsi huyo Zamaradi alivyo na ujasiri wa kuandaa kipindi hili ikiwa ni wiki kadhaa tu zimepita alilaumiwa kwa kumualika shoga ktk kipindi chake cha takeone. Kwa kweli ni aibu kama ulikuwa upo unaangalia tv na watu unaowaheshimu ni balaa tupu. Ivi hawa TCRA wapo kweli.
 
Hahaaa hivi kabisa kuna watu na akili zao timamu wanachukulia maanani maneno yasemwayo na huyo Gigi Money?

Mke wangu na familia yangu sitaki wajue habari za maisha yangu binafsi? Sijakupata hapo.

Licha ya hivyo, kama anayeniienezea uzushi ni Gigi Money basi huyo ndo nitakayekula naye sahani moja. Si mwendesha kipindi.

Halafu, hivi watu mnataka hiyo Clouds au huyo Zamaradi awe msoma taarifa za habari tu?

Hayo mambo mengine ni burudani tu na kuangalia au kusikiliza ni hiari, si shurti.

Hupendi, badili stesheni.

Ngabu hata huko USA zipo taasii zinazolinda maadili kwa TV
vipindi ambavyo vinatazamwa hadi na watoto vinapaswa kuwa vitu ambavyo
haviwaathiri watoto maadili

Hiki kipindi kinatazamwa hadi na watoto
halafu unamuita mtu ambae watoto wanamuona labda ni 'superstar'
na mahojiano yanakuwa na maswali kama haya

1.Wanaume wangapi umetembea nao
2. dau kubwa kiasi gani umewahi kulipwa?
3.umetembea na Ali kiba na Abdul Kiba na nani mwingine?
na kadhalika na kadhalika

Huoni Clouds kama TV walipaswa kuweka tahadhari kabla?
 
Bossman, unalinganisha matufaha na machungwa.

Huyo Gigi kahojiwa katikati ya Super Bowl?

Na kibaya hasa alichofanya au alichosema ni nini?

Ni kitu kile kile tu
Huko Superbowl ni event kubwa hadi watoto wanatazama
huku umaarufu wa kipindi cha Zamaradi hadi watoto wanatazama

na maswali yake kwa Giggy watoto hawakupaswa kuyasikia
Zamaradi wala Clouds hawajawahi kusema kipindi chao kina adults only contents
 
Katika hali isiyoyakawaida Zamaradi Mketema mtangazaji wa Clouds Tv leo hii amemualika mdada mmoja anajiita Gigy Money Ambae nae pia ni mtangazaji wa hizi Radio za FM. Huyo dada bila aibu anaelezea bila kuficha mambo yake ya ajabuajabu na anaelezea watu aliowahi kutembea nao kwa kuwataja kwa majina Kawataja mastaa kadhaa wa bongo akiwemo Alli kiba na mdogo wake. Hemedi anaejiita PHD nawengineo Kinachonishangaza ni jinsi huyo Zamaradi alivyo na ujasiri wa kuandaa kipindi hili ikiwa ni wiki kadhaa tu zimepita alilaumiwa kwa kumualika shoga ktk kipindi chake cha takeone. Kwa kweli ni aibu kama ulikuwa upo unaangalia tv na watu unaowaheshimu ni balaa tupu. Ivi hawa TCRA wapo kweli.
Kama hutaki kuangalia badili chaneli acha kulalamika kwenye magazeti ya udaku mnasoma akihojiwa mnalia sasa mnataka nn?
 
Ngabu hata huko USA zipo taasii zinazolinda maadili kwa TV
vipindi ambavyo vinatazamwa hadi na watoto vinapaswa kuwa vitu ambavyo
haviwaathiri watoto maadili

Hiki kipindi kinatazamwa hadi na watoto
halafu unamuita mtu ambae watoto wanamuona labda ni 'superstar'
na mahojiano yanakuwa na maswali kama haya

1.Wanaume wangapi umetembea nao
2. dau kubwa kiasi gani umewahi kulipwa?
3.umetembea na Ali kiba na Abdul Kiba na nani mwingine?
na kadhalika na kadhalika

Huoni Clouds kama TV walipaswa kuweka tahadhari kabla?

Anhaa...basi kumbe tatizo ni wakati gani nini kinaonyeshwa, siyo?

Kama ni hivyo kwa nini TCRA wasitoe mwongozo wa kipi kifaa na kipi kisichofaa kwenye prime time?

Wao watoe tu mwongozo na vituo viufuate huo mwongozo na vikishindwa kuufuata basi vichukuliwe hatua.

Wenzao wa FCC wana safe harbor times....kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi.

TCRA wana kitu kama hicho?
 
Tanzania kila kitu tunavamia tu wala hatujijui
 
Jamani huyu anvyoongea nilivyomsikia ni yuko foolish age ,kama mnakumbukumbu hata lulu naye alikuwaga mawenge hivyo alihojiwaga sijui FNL kipindi kako 16 yrs hivi kakawa kanajibu vijibu vya kitoto
Mwacheni gigy akikua ataacha
 
Ngabu hata huko USA zipo taasii zinazolinda maadili kwa TV
vipindi ambavyo vinatazamwa hadi na watoto vinapaswa kuwa vitu ambavyo
haviwaathiri watoto maadili

Hiki kipindi kinatazamwa hadi na watoto
halafu unamuita mtu ambae watoto wanamuona labda ni 'superstar'
na mahojiano yanakuwa na maswali kama haya

1.Wanaume wangapi umetembea nao
2. dau kubwa kiasi gani umewahi kulipwa?
3.umetembea na Ali kiba na Abdul Kiba na nani mwingine?
na kadhalika na kadhalika

Huoni Clouds kama TV walipaswa kuweka tahadhari kabla?

Hahahaaa ndio maswali kayauliza hayo...anachukua sababu ni baada ya saa tatu usiku(nachukulia sheria ya nchini nayo ipo hivi) watoto wanatakiwa kuwa wamelala...ila kazidi kwa kweli haswa mtu kama huyo binti wa ngono 24/7.
 
Tanzania kila kitu tunavamia tu wala hatujijui

Basi tatizo huenda ni TCRA.

Haina miongozo ya kueleweka.

Vipindi kama hivyo havitakiwi kuwepo wakati wa prime time.

Vingeanzia kwenye saa tano au saa sita huko.
 
Back
Top Bottom