Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Wanapaswa tu kusema hiko kipindi ni cha watu wazima

Pamoja na kusema hivyo, pia wanapaswa kuvirusha kwenye mida maalumu ambapo walio chini ya umri wanapaswa kuwa wamelala.

As simple as that.
 
Basi tatizo huenda ni TCRA.

Haina miongozo ya kueleweka.

Vipindi kama hivyo havitakiwi kuwepo wakati wa prime time.

Vingeanzia kwenye tano au saa sita huko.

Mwanzo alikuwa anawahoji maigizaji wa filam na maswali tu ya kawaida
now naona kimekuwa kipindi cha watu wazima
TCRA ....
 
Oohh ... Too bad.
 
ila mleta thread upo active balaa hukutaka hata kipindi kiishe ndo ushushe uzi wako. ANYWAY MI NAONA TANGU BIBIE AJULIKANE ANATOKA NA MKURUGENZI NAHISI HAKUNA ANAYEMWAMBIA KITU TENA. NAHISI HATA AMEKABIDHIWA UMENEJA WA UANDAAJI VIPINDI MJENGONI.

WANAWAKE HAWA!!!!!!!!!!!!
TUMEWAPA WENYEWE USAWA
 
Mkuu huko kwenu USA mnaporuhusu hadi ndoa za jinsia moja ni tofauti sana na tamaduni za tz, maadili ya habari huku hayawezi kukiukwa kuwafurahisha nyie wazungu pori.

Na kweli!

Manake hata nyinyi siku hizi hadi wanaume mnakata viuno kama wanawake!

Na hata kwa vinyozi mnalazimishwa kufanyiwa sijui skrabu na mengine mengi tu ya kike.

Unafiki much?

Haya hebu ona hawa wawili...utadhani khanga moko....

 
Hivi Casto Dickson ni yupi vile!??
Yule anajiitaga "Mwananchi wa Kawaida" ana kipindi kinaitwa "Siz Kitaa" anatembea na guta.
Huyu jamaa sijui leo kama ndoa yake itasalimika,maana Gigy kasema mpaka leo huwa wanakumbushia na huwa akimtaka tu wakalale,Gigy anampigia Castro kuwa njoo!!Loooh kumbe mwananchi wa kawaida anafaidi hili shuzi?Watoto wa Arusha banaaa
 
exactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini

Kwa sababu ni clouds tv,TCRA wapo likizo.Ila ITV ya msigwa wanayaona.Nchi hii.Hii,We ngoja tu.Wasipoziba ufa,Watajenga UKUTA"Muda utaongea chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…