Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wanapaswa tu kusema hiko kipindi ni cha watu wazima
Pamoja na kusema hivyo, pia wanapaswa kuvirusha kwenye mida maalumu ambapo walio chini ya umri wanapaswa kuwa wamelala.
As simple as that.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapaswa tu kusema hiko kipindi ni cha watu wazima
Uyu Giggy anatakiwa apewe machine ya EFD
Basi tatizo huenda ni TCRA.
Haina miongozo ya kueleweka.
Vipindi kama hivyo havitakiwi kuwepo wakati wa prime time.
Vingeanzia kwenye tano au saa sita huko.
Paul Makonda anachekelea kwakuwa hapo Clouds ndiyo sebuleni kwake...tokea clouds wasifiwe na mkuu wa kaya naona masikio yamezidi kichwa..yaani kama leo maudhui haswa ya hicho kipindi ni nini haswa??
Dah!aisee kuna radio zinatakiwa kupewa radius ya 5km kama siyo kufungiwa kabisa kama watangazaji wenyewe ndo hawa...Ni mtangazaji wa choice FM radio iliyoko chini ya Clouds Media.
mwananchi wa kawaida anatangazaga kwenye guta mzee wa vipenziHivi Casto Dickson ni yupi vile!??
Gigy anasema eti ilikua yeye na Harmonize ndiyo wanakuja kuwa best couple of town akashangaa Wolper ame-take over.
Mkuu huko kwenu USA mnaporuhusu hadi ndoa za jinsia moja ni tofauti sana na tamaduni za tz, maadili ya habari huku hayawezi kukiukwa kuwafurahisha nyie wazungu pori.Hayo maadili ya habari yameandikwa wapi?
Nyani ngabu hongera kwa kujua kila kituAngeshitakiwa kwa kosa gani?
Na ni nchi gani hizo ambako huyo Zamaradi angeshitakiwa na kupigwa faini?
Juzi au jana aliweka insta, anasema yeye wa bei mbaya anaetaka kumtoa mtoko wake mbezi au posta.Hivi hao waliomtumia walikunywa supu kweli?
Clouds media chombo cha habari pendwa cha viongozi wa ccm wakiwadhibu saana hapo ni milion 5.
Oohh ... Too bad.Yule anajiitaga "Mwananchi wa Kawaida" ana kipindi kinaitwa "Siz Kitaa" anatembea na guta.
Huyu jamaa sijui leo kama ndoa yake itasalimika,maana Gigy kasema mpaka leo huwa wanakumbushia na huwa akimtaka tu wakalale,Gigy anampigia Castro kuwa njoo unit****mbe!!Loooh kumbe mwananchi wa kawaida anafaidi hili shuzi?Watoto wa Arusha banaaa
Mkuu huko kwenu USA mnaporuhusu hadi ndoa za jinsia moja ni tofauti sana na tamaduni za tz, maadili ya habari huku hayawezi kukiukwa kuwafurahisha nyie wazungu pori.
Yule anajiitaga "Mwananchi wa Kawaida" ana kipindi kinaitwa "Siz Kitaa" anatembea na guta.Hivi Casto Dickson ni yupi vile!??
exactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini