bruno castol
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,046
- 661
Hana mvuto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdau, kuna vipindi vingi mno vya kufuatilia katika TV, kwanini unapoteza muda kuangalia mambo ambayo yanakukera? Kwa sasa kuna michezo ya olimpiki, ina maana katika michezo yote ile (sarakasi, kuongelea, kandanda, riadha, kurusha tufe na mikuki nk) hakuna hata mmoja unaoupenda?Huyu mtangazaji wa Clouds TV, Sielewi hawa watu anaowahoji lengo lake ni nini, naona upumbavu anaoongea Gigy Money kwenye kipindi chake cha Take One, najiuliza kwanini anaruhusu ujinga huu. Nilidhani amejifunza na ile ishu ya yule shoga kumbe bure kabisa
Kuna watu wanazaliwa ili malengo ya shetani yatimie! Huyo binti ni sawa na mwanangu wa kuzaa ila sasa ameishafanya mengi mabaya hapa duniani. TumwombeeniKwa mda wa miaka yake 19 kuwepo hapa duniani, Gigy Money amekiri kutembea na wanaume ambao hata idadi yake haikumbuki.
Amezaliwa katika familia ya watoto wanne huku kama mtoto akiwa na baba yake, mbaya zaidi mpaka sasa hajawahi kumtambua baba yake.....
Kataja na mastaa aliowapa papuchi
1.Ally Kiba
2 Abdul Kiba
3 Harmonize
4.Hemed Phd
Source... Take one (clouds tv)
Kweli kabisa! Niombee wanangu wasije kutana naye!Hajitambui huyo fala... Usipoteze muda wako kumuombea huyo...! Ombea ndugu zako, wanao, Mungu akawakinge na mabalaa ya dunia
Anatafuta kiki kwa mambo ya kipumbafu life iz too shortKwa mda wa miaka yake 19 kuwepo hapa duniani, Gigy Money amekiri kutembea na wanaume ambao hata idadi yake haikumbuki.
Amezaliwa katika familia ya watoto wanne huku kama mtoto akiwa na baba yake, mbaya zaidi mpaka sasa hajawahi kumtambua baba yake.....
Kataja na mastaa aliowapa papuchi
1.Ally Kiba
2 Abdul Kiba
3 Harmonize
4.Hemed Phd
Source... Take one (clouds tv)
huyu dada hanaga siri ila ndo mambo ya mujini hayaKwa mda wa miaka yake 19 kuwepo hapa duniani, Gigy Money amekiri kutembea na wanaume ambao hata idadi yake haikumbuki.
Amezaliwa katika familia ya watoto wanne huku kama mtoto akiwa na baba yake, mbaya zaidi mpaka sasa hajawahi kumtambua baba yake.....
Kataja na mastaa aliowapa papuchi
1.Ally Kiba
2 Abdul Kiba
3 Harmonize
4.Hemed Phd
Source... Take one (clouds tv)
Malezi ya wazazi wote wawili ni muhimu sana kwa mustakabali wa watotoKwa mda wa miaka yake 19 kuwepo hapa duniani, Gigy Money amekiri kutembea na wanaume ambao hata idadi yake haikumbuki.
Amezaliwa katika familia ya watoto wanne huku kama mtoto akiwa na baba yake, mbaya zaidi mpaka sasa hajawahi kumtambua baba yake.....
Kataja na mastaa aliowapa papuchi
1.Ally Kiba
2 Abdul Kiba
3 Harmonize
4.Hemed Phd
Source... Take one (clouds tv)
wanarithishana, HAINAGA USHEMEJI, TUNAKULAGA.Kwa mda wa miaka yake 19 kuwepo hapa duniani, Gigy Money amekiri kutembea na wanaume ambao hata idadi yake haikumbuki.
Amezaliwa katika familia ya watoto wanne huku kama mtoto akiwa na baba yake, mbaya zaidi mpaka sasa hajawahi kumtambua baba yake.....
Kataja na mastaa aliowapa papuchi
1.Ally Kiba
2 Abdul Kiba
3 Harmonize
4.Hemed Phd
Source... Take one (clouds tv)
Yaani Lemutuzi king wa mabebezi hayumo kwenye orodha.....??? Au kaamua kumsitiri mzee mzima???Kwa mda wa miaka yake 19 kuwepo hapa duniani, Gigy Money amekiri kutembea na wanaume ambao hata idadi yake haikumbuki.
Amezaliwa katika familia ya watoto wanne huku kama mtoto akiwa na baba yake, mbaya zaidi mpaka sasa hajawahi kumtambua baba yake.....
Kataja na mastaa aliowapa papuchi
1.Ally Kiba
2 Abdul Kiba
3 Harmonize
4.Hemed Phd
Source... Take one (clouds tv)
Huyu mtangazaji wa Clouds TV, Sielewi hawa watu anaowahoji lengo lake ni nini, naona upumbavu anaoongea Gigy Money kwenye kipindi chake cha Take One, najiuliza kwanini anaruhusu ujinga huu. Nilidhani amejifunza na ile ishu ya yule shoga kumbe bure kabisa