Zamaradi kuasili mtoto

Anajishau si azae wake, juh juh mwenyew kamshinda kumlea kutwa kuwaachia ma housegirl huyo wa kuasili si ndo atamwacha kwa jiran kabisa, kujishaua tu

Mwanae anaitwa juh juh?
 
Kuasili mtoto sio kucha kusema zinaota kwa kila mtu....sasa jipange
 
Ahahah hahaha nimeipenda hii mkuu, umeona isiwe tabu bora ujitolee mfano wewe mwenyew dah, humu kuna watu kiboko eti akina sie

Maana naona mnacomplicate sana...hivi kulea mtoto unatakiwa uwe hadi na mabilioni mangapi vile? Au ukiasili huyo mtoto ni lazima umpe maisha ya kifahari? Huwezi kumlea katika mazingira ya kawaida unayoishi wewe
 
Anhaa! Ndio ile naionaga hata kwenye tamthiliya za wafilipino eeeh??

Asante mama, wewe ni mwalimu mzuri sana! May God Bless You with Your hubby!!!
asante dia,baraka za Mungu zikurudie.. ....... too bad sina hubby eti
 
Maana naona mnacomplicate sana...hivi kulea mtoto unatakiwa uwe hadi na mabilioni mangapi vile? Au ukiasili huyo mtoto ni lazima umpe maisha ya kifahari? Huwezi kumlea katika mazingira ya kawaida unayoishi wewe

Halafu mi nais huyu atakuwa anampa dongo jide au ray c kama sikosei, maana jide ni hasimu wa mzazi mwenzie na ruge n ex wake pia, kwa ray c nae pia ni ex wa ruge , so nafikir tu atakuwa karusha bomu kwa mtu, maana haiwezekani mtu uwe na mtoto tena mdogo alafu utake kuasili kwa pesa gan au huruma gan aliyonayo huyo mtu mweusi??
 
Huyu anatafuta housegirl tu hana lolote aasili kwan ndugu zake wameisha wa kuwasaidia basi awachukue yatima kama atawaweza wotee

Tofautisha kulea ndugu na kuasili mtoto.naona ni wazo zuri kila familia tukiasili mmoja atleast watalelewa katika familia.
 
Ila wabongo tuna sumu mioyoni we are very negative in everything.Yaan kila jambo lazima upinge na kuwa na negative atitude nahsi ni malezi tulokulia au ni ugumu wa maisha tulopitia .Mara wa kwake ana muachia housegirl loooooh mkoje.

Yaan mtu akigombana na mpenzi/mume watu wanafurahiii akitangaza ndoa kila mtu anaanza kejeli.
 
Tofautisha kulea ndugu na kuasili mtoto.naona ni wazo zuri kila familia tukiasili mmoja atleast watalelewa katika familia.

Kuishi na housegirl watu hawawezii wanawanyanyasa wanawake tuna roho mbayaaa wanaume naoo ndio usisemeee
HAWEZIII
 
Kuishi na housegirl watu hawawezii wanawanyanyasa wanawake tuna roho mbayaaa wanaume naoo ndio usisemeee
HAWEZIII

huyo zamarad atakuwa anamkejel jide au ray c, maana hapatani na hawa watu, so nadhan its a kind of kijembe, sasa yeye juzi juzi tu kazaa leo utake kuasili mtoto, hii haijakaa poa kabisa
 
huyo zamarad atakuwa anamkejel jide au ray c, maana hapatani na hawa watu, so nadhan its a kind of kijembe, sasa yeye juzi juzi tu kazaa leo utake kuasili mtoto, hii haijakaa poa kabisa

Aende huko nishasema dogo la maadui haweziiii la sivyo kashfa zitamkuta,,
 
Dah binadamu bhana...!!!
Yaani mtu anakomaa kabisa......HAWEZII....HANA PESA!!! Hivi kwani kuasili mtoto ni mpaka uwe na mabilion mangapi??

Khaaa maisha siyo complicated kiasi hicho!
 
Hana pesaa wewee
Unataka kuniambia mtu mwenye mshahara wa sh.300,000/- akiamua kutunza mtoto hawezi, au?? Hivi mtoto ambae hata mlo mmoja unapatikana kwa shida, akienda kuishi kwenye nyumba ya kupata milo miwili sio nafuu kwake?? Kuasili si kwa matajiri Dina... hata mimi na wewe tunaweza... unachokula wewe ndicho atakachokula yeye... ukikosa, na yeye anakosa, tatizo liko wapi?
 
Yaan nakuambia huyu anatafuta msaidizii wabongo hiyo mioyo hatuna yakheeee
Wapo lakini sio zama huyu huyuu
 
Yaan nakuambia huyu anatafuta msaidizii wabongo hiyo mioyo hatuna yakheeee
Wapo lakini sio zama huyu huyuu
Zamaradi huyo huyo... anaweza kuasili! Hata mm, kwenye uzima nitaasili tu, sema tatizo langu sipendi vurugu za watoto kwahiyo nitasubiri nizeeke zeeke kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…