Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Anajishau si azae wake, juh juh mwenyew kamshinda kumlea kutwa kuwaachia ma housegirl huyo wa kuasili si ndo atamwacha kwa jiran kabisa, kujishaua tu
Mwanae anaitwa juh juh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajishau si azae wake, juh juh mwenyew kamshinda kumlea kutwa kuwaachia ma housegirl huyo wa kuasili si ndo atamwacha kwa jiran kabisa, kujishaua tu
Ahahah hahaha nimeipenda hii mkuu, umeona isiwe tabu bora ujitolee mfano wewe mwenyew dah, humu kuna watu kiboko eti akina sie
asante dia,baraka za Mungu zikurudie.. ....... too bad sina hubby etiAnhaa! Ndio ile naionaga hata kwenye tamthiliya za wafilipino eeeh??
Asante mama, wewe ni mwalimu mzuri sana! May God Bless You with Your hubby!!!
Maana naona mnacomplicate sana...hivi kulea mtoto unatakiwa uwe hadi na mabilioni mangapi vile? Au ukiasili huyo mtoto ni lazima umpe maisha ya kifahari? Huwezi kumlea katika mazingira ya kawaida unayoishi wewe
Huyu anatafuta housegirl tu hana lolote aasili kwan ndugu zake wameisha wa kuwasaidia basi awachukue yatima kama atawaweza wotee
Tofautisha kulea ndugu na kuasili mtoto.naona ni wazo zuri kila familia tukiasili mmoja atleast watalelewa katika familia.
Kuishi na housegirl watu hawawezii wanawanyanyasa wanawake tuna roho mbayaaa wanaume naoo ndio usisemeee
HAWEZIII
huyo zamarad atakuwa anamkejel jide au ray c, maana hapatani na hawa watu, so nadhan its a kind of kijembe, sasa yeye juzi juzi tu kazaa leo utake kuasili mtoto, hii haijakaa poa kabisa
oooh!!! sijajua!!!!!
basi ujaliwe upate mume, with that kindness mwenyeeeez atakuletea tu mume mwema!!!!!
Unataka kuniambia mtu mwenye mshahara wa sh.300,000/- akiamua kutunza mtoto hawezi, au?? Hivi mtoto ambae hata mlo mmoja unapatikana kwa shida, akienda kuishi kwenye nyumba ya kupata milo miwili sio nafuu kwake?? Kuasili si kwa matajiri Dina... hata mimi na wewe tunaweza... unachokula wewe ndicho atakachokula yeye... ukikosa, na yeye anakosa, tatizo liko wapi?Hana pesaa wewee
Unataka kuniambia mtu mwenye mshahara wa sh.300,000/- akiamua kutunza mtoto hawezi, au?? Hivi mtoto ambae hata mlo mmoja unapatikana kwa shida, akienda kuishi kwenye nyumba ya kupata milo miwili sio nafuu kwake?? Kuasili si kwa matajiri Dina... hata mimi na wewe tunaweza... unachokula wewe ndicho atakachokula yeye... ukikosa, na yeye anakosa, tatizo liko wapi?
Niasili mimi... mama angu keshazeeka hajiwezi!Nataka kumuasili huyo zamaradi.....
Zamaradi huyo huyo... anaweza kuasili! Hata mm, kwenye uzima nitaasili tu, sema tatizo langu sipendi vurugu za watoto kwahiyo nitasubiri nizeeke zeeke kwanza.Yaan nakuambia huyu anatafuta msaidizii wabongo hiyo mioyo hatuna yakheeee
Wapo lakini sio zama huyu huyuu